JF is never boring. Kwahiyo kwa ushauri wako unataka watoke kwenye ndoa warudi kwenye uchumba, na watoto wawaleaje? Kuna mawili hapo ama ndoa ivunjike au kutafuta namna ya kumtunza mama bila kuishi hapo nyumbani. Nafahamu mtu mmoja aliyeamua kumpangishia baba yake nyumba na kumtafutia mfanyakazi wa kumpikia, kumfulia na kazi nyingine ndogondogo. Na jamaa alikuwa anapeleka mahitaji zaidi huko kuliko hata hapo kwa mke wake. Ile ilisaidia sana kumfanya mzazi aishi kwa furaha, na mke naye atulie.Kama mlivyo ona hapo juu ya kichwa cha habari...kuna rafiki yangu ana matatizo na mke wake kamuambia hataki kuishi na mama yake huyo mme wake nyumba moja, na huyo mama yake hana pakwenda...Kaomba ushauri kwangu, mimi nimempa ushauri mzuri sana kama huu; Kila mmoja aishi na wazazi wake, na mke wake awe anakuja kwake anampiga vitu akisha maliza kila mmoja anarudi kwao, yeye anabaki na mama yake, na mke wake anarudi kwa wazazi wake...Mke akiwa kakumbuka kamchezo kachumbani anamuita wanacheza wakisha maliza kila moja anarudi kwao...Nilivyo muambia hivyo kaniambia eti ushauri wangu sio mzuri nyie mnge mpa ushauri gani :biggrin:
Kama mlivyo ona hapo juu ya kichwa cha habari...kuna rafiki yangu ana matatizo na mke wake kamuambia hataki kuishi na mama yake huyo mme wake nyumba moja, na huyo mama yake hana pakwenda...Kaomba ushauri kwangu, mimi nimempa ushauri mzuri sana kama huu; Kila mmoja aishi na wazazi wake, na mke wake awe anakuja kwake anampiga vitu akisha maliza kila mmoja anarudi kwao, yeye anabaki na mama yake, na mke wake anarudi kwa wazazi wake...Mke akiwa kakumbuka kamchezo kachumbani anamuita wanacheza wakisha maliza kila moja anarudi kwao...Nilivyo muambia hivyo kaniambia eti ushauri wangu sio mzuri nyie mnge mpa ushauri gani :biggrin:
gfsonwin najua sana thamani ya ndoa...navyo jua unapo owa na unapo olewa kubali kuishi na mke wako/mme wako kwa mazuri na mabaya, unless kuna ukosefu wa adabu kutoka pande zote mbili.fazaa hivi unaijua nini thamani ya ndoa? na je unajua heshima yake? ushauri wako ni mbaya sana. swali ni je huyo rafiki yako alizaliwa njiani hadi huyo mama akose pa kwenda? yeye kwake nani anapaangalia?
Kama nimekusoma sawia, mfano wako una- Refer Wachaga, kwa maana ndio zao.To be honest with my self...ushauri ulioutoa ni the best and only kwa aina ya watu kama hugo (assuming kuwa story ni ya kweli).
Nasema nje ya hapo uwezi kumpa mtu ushauri ambao hawezi ku- comprend... kama mkewe alimweleza hivyo na bado anahitaji ushauri zaidi basi hawezi kusaidiwa kimawazo labda vinginevyo.
Kuna mfano hai mkoa mmoja TZ yuko bwana mmoja anaishi na mama yake mzazi na mke wake under the same roof for over 11yrs straight....mpaka mama mzazi ameachika na mumewe kitambo tu. Kifupi maisha yao ni drama kwa kwenda mbele including mama kumtafutia mwanaye mwenye mke wa ndoa mwanamke anayemkubali etc.
lol hio yako kali...,amtafutie mama pa kwenda....
gfsonwin najua sana thamani ya ndoa...navyo jua unapo owa na unapo olewa kubali kuishi na mke wako/mme wako kwa mazuri na mabaya, unless kuna ukosefu wa adabu kutoka pande zote mbili.
Sikatai ushauri wangu unaweza kuwa si mzuri, lakini je kama mzazi wake ndo hana pakwenda na yeye ni mwanaume peke yake katika family ya mama yake, dada zake wawili wameolewa sa huoni kama ni aibu kumuacha mama yake akaishi kwa mashemeji zake.
Wataftie CD za michezo ya kanumba za kutosha. Risechi yangu nimegundua wanawake wakiangalia movie za kanumba na uwoya wanakuwa wanaelewana kupita maelezo katika kufatilia na kuhadisiana mchezo.
Wanawake bana!
.Kuoa kazi kwel kwel. Et m2 anikatalie kuish na mama angu! Bora nimwache yeye nikaish na mama.