kuna programme live ya albino more4

kuna programme live ya albino more4

Katibu Tarafa

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2007
Posts
989
Reaction score
59
kwa walioko uk mnaweza kuangalia hii programme hivi sasa kwenye more4
 
Si unaandika mapema kwa walioko UK? Wengine tunaingia kichwa kichwa kumbe mlangoni pameandikwa "FOR UK ONLY....." Ngoja sisi wa Sikonge tukanywe Gongo tu.
 
Naangalia!wako Mwanza sasa!
Kwa nini watu wa mikoa hii,hasa Mwanza wanaamini mambo ya kijinga hivi?
 
Kuna mtu wa mtumbwi anasema huwezi kuona kinyesi cha albino hata siku moja.Ndio ignorance ya watu wanaochagua serikali yetu Tanzania.
 
diko kwenye dhahabu, na ushirikina ni jadi yao.hata chenge ana jua hilo
 
kwani unafikiri nikiwa mtaani nitajitambulisha kuwa mimi ni mtz hapa UK..subutu, bora tu niseme mimi ni mnyarwanda/mrundi au mganda...mbona aibu hii tutaficha wapi nyuso zetu na selikali bado inawalinda hawa waganga wa kienyeji, wachawi washirikina na wasoma nyota?
 
naona hawa wazungu watafikiria mara bili bili kuja bongo,wasije geuzwa kitoweo
 
kwa walioko uk mnaweza kuangalia hii programme hivi sasa kwenye more4


The same program itarushwa na SBS TWO Channel.

Nitaingalia kwa saa za Sydney, Australia kesho Alhamis saa tatu usiku.

Inaonyweshwa muda huo hata na watoto wengi wasiione pengine wawe wameshalala kwani inatisha.

nafikiria jinsi watoto watakavyojiuliza labda ilikuwa ni filamu ambazo huwa ni finction na pindi wanapojua ni kweli watoto wenzao waliuliwa, ndipo watakapoichukia Africa kwa maisha yao yote.

Nafikiri itakuwa vihoja vya kaboka mchizi. Nitawajulisha hapo baadae.
 
watz mlioko uk angalieni msifukuzwe kwenye nyumba mlizopanga...wazungu waoga kama kunguru..
 
Back
Top Bottom