Kuna pre-entry test UDSM?

Co lazima uwe umechaguliwa ud au udom,mayb unaweza ukawa umechaguliwa eckenford au muccobs.

Soma swali ulielewe..nimesema hawajaweka majina ya watu walioomba kwa equivalent (hata kama sikuchaguliwa hao wengine mbona hawajawekwa sasa?) na kwa taarifa yako mhusika aliomba vyuo hivyo viwili tu
Usirukie kujibu kitu kama hukuelewa swali
 
kwa udom zile selection wameandika PART 1 so seems like kuna nyingine bado so be patient,na about UD zile selection sio official release so you never know what's missing.....mi naona usubiri TCU nao wanasemaje!
 
Soma swali ulielewe..nimesema hawajaweka majina ya watu walioomba kwa equivalent (hata kama sikuchaguliwa hao wengine mbona hawajawekwa sasa?) na kwa taarifa yako mhusika aliomba vyuo hivyo viwili tu
Usirukie kujibu kitu kama hukuelewa swali

ndo ushakosa sasa!
 
haiwezekani kumdisqualify m2 ambaye tayari ana sifa za kwenda chuo,, maana tcu wameandika ukiwa na two principle pass tayar una sifa ya kuingia chuo,, kwa hyo hata kama kuna test haimaanishi ukifeli hautaruhucwa kuingia"
 
Soma swali ulielewe..nimesema hawajaweka majina ya watu walioomba kwa equivalent (hata kama sikuchaguliwa hao wengine mbona hawajawekwa sasa?) na kwa taarifa yako mhusika aliomba vyuo hivyo viwili tu
Usirukie kujibu kitu kama hukuelewa swali

kwa kweli!! atulie:spy:
 
haya mi napita...ila tungoje 4yrs kwenye soko la ajira!!!
 
Udom nadhan part 2 itakua ya 2nd round application ila ni the best akawait tcu kuona na ud pia vlevle aangalie km jina lipo kwa ambao hawajawa selected the ajue cha kufanya. Newcomer.
 
Tukutane baada ya miaka minne tuendeleze uzihuu kwa vithibitisho
 
Wana jf hatimae SEKUco watoa majina ya undergraduate 2012/2013 visit website yao nimeshindwa kuattach hilo tokeo
 
available slots ud zipo koz chache sana ni za arts, science zilizopo ni computer science na zngne kama mbil hiv, cjajua point yako nn hapo mana hata kumi na moja hazizid
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…