Kuna polisi wa oysterbay kwa kweli mimi naona anaichezea kazi yake sana

Pelly

Member
Mar 26, 2013
51
95
Habari zenu wananchi, kuna polisi wa oysterbay kwa kweli mimi naona anaichezea kazi yake sana, polisi fikiri amekuwa kero sana kwa madereva wote hapa mjini hususani maeneo ya namanga,mikocheni, kinondoni na makumbusho kila mwendesha gari ukimtajia huyu mtu anazungumzia vibaya vitendo vyake vya kulazimisha rruswa,amekuwa akitishia kuwaweka ndani madereva ambao hawataki kumpa rushwa,

Yaani hizi taa za njano labda zimempatia hata nyumba pengine hila mimi namjulisha pesa ya dhruma mbaya sana na Mungu anakuona wewe pc fikiri yaani ukikaa namanga mataa angalia anavyokula rushwa na ile bajaj anayoikodi siku nzima kutembea nayo kwa ajili ya kwenda nayo mitaa ya kati kuvizia magari na kula rushwa mafichoni yaani dreva wa bajaj ndiyo anapanga na kupokea rushwa,naombeni kama viongozi mnasoma hii kitu mpeni onyo kali kulikokuweka madereva lockup kwa kukosa faini ya papopapo wakati anatakiwa kuandikia mtu cheti.

polisi fikiri na timu yako unaofanya nao kazi kama huyo wa bajaj jiangalie sana kazi utaikosa utarudi mtaani kama sisii

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mag3

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,294
2,000
Mwacheni PC Fikiri atimize wajibu wake, hiyo si rushwa, ni hela tu ya kubrashia viatu...anafuata maagizo ya wakubwa!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom