kuna penzi hapa au nilisha achika kitambo!?!

Kwa taadhari ya maisha yako pamoja na afya yako jiweke pembeni mlilie Mungu atakuonyesha mume mwena atakaetuliza moyo wako
 
Nilitaka nikwambie ufanye maamuzi magumu, ila hilo la kuwa anakulipia ada limanifanya nigairi.

Lakini huoni kuwa unatakiwa kuwa na strategies? Unadhani huyo alokuchoka hivyo ataendelea kukulipia ada mpaka lini. Nahisi ataacha soon and very soon.

Was it real love au alikuwa ananunua service ambayo kwa sasa hana shida nayo tena? Kama kuna love ataendelea kukulipia...inawezekana hiyo mimba imemchanganya mpaka ameishiwa nguvu za kiume ndo maana hana hamu ya ku do tena.

Jamani hao wanaume mabingwa wa kuongwa ni maplayer wanawake wenzangu...kuweni makini sana na uchaguzi mnao fanya. Nadhani ulomuacha alikuwa hana pesa kama huyu...lakini utashangaa baada ya miaka anakuwa young milionea. Bora za kutafuta wote mume atakuheshimu kuliko akuone umeolewa au umempenda sababu ya dhiki zako.

Unamaana gani billie mimi sina uwezo wowote ni mwanachuo tu mbaya zaid yeye ndio anaenilipia ada
 
Vumilia na mpige kibuti unajua unavyomuonyesha kumpenda zaidi ndiyo hivyohivyo anaDekakwani huna jamaa mwingine umringishie ? NiPM tumtikise kwaha kwa sms za mapenzi au nunu aline ya pili ijaze smg za mapenzi halafu akiwepo zitume zije kwako makusudi atairukia simu na kuPanic siku ya pili muonyeshe hiyo Line ya pili atajirekebisha
 
Kwanza naomba unifafanulie" Unasema ulienda kwake, ina maana you two don't live together? Ni mume wako au Boyfriend, mchumba? rafiki?

.mimi roho ikagoma kabsa nikaona nichukue tax niende kwake now niko kwake hayupo nasijamwambia kama niko kwake
 
I can't he is married now,,,,,na alisema sana nilipo muacha na kuja kwa huyu mtu hata nahisi ni mkosibsababubalilalamika bsana

Wewe ulitoka kwa huyo x-wako kumfata mshikaji coz ana pesa ndio tatizo lenu nyie mademu mnapenda sana kupapatikia wanaume wenye hela,haya sasa subirini tu awapange,mpaka sasa huyo jamaa yako ana mademu watatu kwa pamoja!! Bado Ukimwi tu subiri.
 
Kuna situation za kutikisa kiberiti...si ya huyu mdada. Akitikisa tu lazima kimwagike...maana jamaa naona mdomo umekuwa mzito kumwambia its over...mkianza kumlingishia SMS mbona mtakuwa mmerahisisha kazi.

Ningemshauri awe mpole ili jamaa aendelee kumlipia ada...ila awe anajipanga in mean time kwani huyo si mume...nina maana atafute husband material ili jamaa alichune tu. Lol.

Maana shule muhimu ati...ila sasa kitu kingine ni magonjwa...hawezi kuendelea kumpa ela bila ku do...what about HIV.

Utegemezi mbaya jamani. Pole bi dada.
Vumilia na mpige kibuti unajua unavyomuonyesha kumpenda zaidi ndiyo hivyohivyo anaDekakwani huna jamaa mwingine umringishie ? NiPM tumtikise kwaha kwa sms za mapenzi au nunu aline ya pili ijaze smg za mapenzi halafu akiwepo zitume zije kwako makusudi atairukia simu na kuPanic siku ya pili muonyeshe hiyo Line ya pili atajirekebisha
 
Nilitaka nikwambie ufanye maamuzi magumu, ila hilo la kuwa anakulipia ada limanifanya nigairi.

Lakini huoni kuwa unatakiwa kuwa na strategies? Unadhani huyo alokuchoka hivyo ataendelea kukulipia ada mpaka lini. Nahisi ataacha soon and very soon.

Was it real love au alikuwa ananunua service ambayo kwa sasa hana shida nayo tena? Kama kuna love ataendelea kukulipia...inawezekana hiyo mimba imemchanganya mpaka ameishiwa nguvu za kiume ndo maana hana hamu ya ku do tena.

Jamani hao wanaume mabingwa wa kuongwa ni maplayer wanawake wenzangu...kuweni makini sana na uchaguzi mnao fanya. Nadhani ulomuacha alikuwa hana pesa kama huyu...lakini utashangaa baada ya miaka anakuwa young milionea. Bora za kutafuta wote mume atakuheshimu kuliko akuone umeolewa au umempenda sababu ya dhiki zako.

I realy luv him huwez amin my ex alikua na uwezo zaid..hataivo anaponitaka hakunambia atanisomesha haya yalikuja badae
 
Kwa hiyo hapa unacholilia zaidi ni kupoteza love au kukosa school fees au vyote?

Nauliza hivyo kwa kuwa kama una pengine au ndugu au jamaa wa kukulipia fee; naona umwache tuu. boyfriend si wa kukuumiza kichwa...ni mapito tu siye Mungu alokupangia; hata kama itakuuma kwa kuwa unampenda time will heal... Huna property right kwake kwakuwa hauna mkataba nae...na hao alonao wana status kama yako kwani wote hamna contract.

Lakini kama hakuna mwingine wa kukulipia school fees una matatizo mawili; love na pesa. Sijuhi umenipata? Na hilo la fedha za fee ndio naona ni gumu zaidi...kifupi limekufunga na huwezi kufanya maamuzi.

I realy luv him huwez amin my ex alikua na uwezo zaid..hataivo anaponitaka hakunambia atanisomesha haya yalikuja badae
 
Great Message written
at the reception of a corporate company..
We don't pay you for having "brains"
We only reward "you"
for using them "intelligently"

nadhan hali halisi iko waz kuwa wenzio ni mwanaume wa wengi.....
sasa tumia huo ubongo wako kujipanga......
 
Sio kuwa mimi napenda najitahidi nashindwa

ushinde Moyo Na Husizani Uko Peke Yako,Tuko Wengi 2 Na 2najaribu Kupingana Na Matakwa Ya Moyo!
inauma Lakini Ina Mwisho Wake Na Ina Manufaa Ya Kujipa Usugu Wa Kuhimili Mikiki Ya Maumivu Ya Mapenzi!
JIFIKIRIE WEWE KWANZA!!.
 
Salam kwenu nduguzangu, naombeni kufunguliwa macho maana nahisi mapenzi yamenifumba macho,mimi ninampenZi wangu tuko na miaka miwili sasa lakini kama miezi miwili ilopita mwenzangu kabadilika sana na sikuzinavo enda nazidi kupokea vituko, mwez flan alikua hataki kufanya mapenz akisema mazoez yanamchosha sana,lakn badae akabadlika zaid akawa anarudi sa8,9,hadi sa 10 usiku/alfajiri na hanigusi akidai anamawazo sana yanamuondolea uwezo wa kumudu tendo..majuz nimdeshika simu yake nikakuta msg za mwanamke akisema baby najihisi nina mimba,na msg za ex wake wakionekana walikuwa wanaunganishiana mana ex anadai ila roho inaniuma bado nakuhitaji,,,last night tukayaongelea lakin tukayamaliza kiolela mana mwenzangu hakutaka kuongea na anakua mkali,leo kani drop home akanambia leo sitokuja kukufata uwahi kuja mwenyewe nikakubari lakin sa 11 jion kanipgia kanambia nijenikuchukue saangap nikamjibu ata saiz nikotayari akasema kunakazi anaenda kufanya nimsubir atanifata sa2 usiku.mimi roho ikagoma kabsa nikaona nichukue tax niende kwake now niko kwake hayupo nasijamwambia kama niko kwake nimempigia kanambia kama unaweza nenda home mimi ninaratba ndefu,,saiv nampgia hapokei nimejaribu kumpgia ule mwanamke aliesema anamimba hapokei,,jaman naombeni kuambiwa ninalangu hapa??na nifanye vip kama sina langu najaribu kumuacha bnashindwa najikuta najileta mwenyewe
Hapo Chadema watakuwa wanahusika moja kwa moja!
 
Usilazimishe kupendwa dada yangu,inaonekana huyo jamaa hana mpango na wewe na anakupotezea muda,jiulize kwanini mpaka anatembea na mwanamke mwingine hadi kutumiwa msg et anajihisi ana mimba?Je akitembea na wewe huwa anatumia protection?Kama sio huoni unajiweka ktk uwezekano wa kupata magonjwa?
Jali afya yako na umuombe mungu kwani utapata mtu atakaye kufaa zaidi ya huyo,kwani dalili zote zinaonyesha kwamba hata akikuoa hatabadilika,kwenye uchumba anarudi saa tisa sasa mkioana na ukizaa si atarudi asubuhi?
 
Great Message written
at the reception of a corporate company..
We don't pay you for having "brains"
We only reward "you"
for using them "intelligently"

nadhan hali halisi iko waz kuwa wenzio ni mwanaume wa wengi.....
sasa tumia huo ubongo wako kujipanga......
Nambe, I love your advice, great piece of advice...hope she takes it!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom