kuna penzi hapa au nilisha achika kitambo!?!

Unamaana gani billie mimi sina uwezo wowote ni mwanachuo tu mbaya zaid yeye ndio anaenilipia ada

Namanisha kuwa ungekuwa na ka mwanachuo kenzio uketeseka kiasi hicho na je ungesuasua kufanya maamuzi magumu ila kama anakulipia ada endelea KUTUMIKIA ADA HADI UTAPOMALIZA chuo chako.
 
Nilitaka nikwambie ufanye maamuzi magumu, ila hilo la kuwa anakulipia ada limanifanya nigairi.

Lakini huoni kuwa unatakiwa kuwa na strategies? Unadhani huyo alokuchoka hivyo ataendelea kukulipia ada mpaka lini. Nahisi ataacha soon and very soon.

Was it real love au alikuwa ananunua service ambayo kwa sasa hana shida nayo tena? Kama kuna love ataendelea kukulipia...inawezekana hiyo mimba imemchanganya mpaka ameishiwa nguvu za kiume ndo maana hana hamu ya ku do tena.

Jamani hao wanaume mabingwa wa kuongwa ni maplayer wanawake wenzangu...kuweni makini sana na uchaguzi mnao fanya. Nadhani ulomuacha alikuwa hana pesa kama huyu...lakini utashangaa baada ya miaka anakuwa young milionea. Bora za kutafuta wote mume atakuheshimu kuliko akuone umeolewa au umempenda sababu ya dhiki zako.

Naona huruma mdogo wetu anateseka kwa ajili ya ada ndiyo maana nimekomalia kuwa na mtoto mmoja hadi kufa kwangu ili nimjazie za kutosha asije patwa na mambo kama haya.
 
Unamaana gani billie mimi sina uwezo wowote ni mwanachuo tu mbaya zaid yeye ndio anaenilipia ada

pole winy kwa kifungo cha kulipiwa ada ndio kinachofanya ushindwe kutoa maamuzi
 
Last edited by a moderator:
Mwayego elimu ndo kila kitu asikuambie mtu,ushauri wangu...pamoja na kuwa inaonekana hapo huna chako,lkn wewe endelea kuitumikia ada yako na kwakuwa yeye mwenyewe amekuwa mzito kukupa game take-it easy,wanasema akunyimaye kunde kakupunguzia mashuzi - anapokunyima game anakupunguzia chance za kupata VVU hasa ukichukulia hisia zaa mwenzako kuwa na Mimba ya huyo Jamaa yenu ni dalili 1 kubwa ya kuwa Jamaa hupita pekupeku, tena weka msimamo hata siku akiikumbuka yako hakikisha mnatumia hata kama hapo awali mlikuwa hamtumii,yaani hapo lengo kubwa linakuwa ni ada ukimaliza Chuo unaweza ukampiga chini direct au ukamtengenezea mazingira ya yeye mwenyewe akupige chini,unaendelea na 50 zako
 
Katika maisha ya mahusiano, jambo la msingi ni kujifunza kuvumiliana na kuchukuliana. Utaacha kila siku, mwisho wa siku utakuja kujuta na kusema niliruka mkojo sasa nimekanyaga mavi. Mara nyingi "NEGATIVE THINKERS" huteswa zaidi na mahusiano, kwani mari nyingi hufikiri kupatwa na mabaya, matokeo yake huyatengeneza mabaya. Ukitaka kukabiliana na mahusiano ni kuwa na uwezo wa kushinda moyo wako katika kuondoa wasiwasi na mashaka juu ya uhusiano wako, hata unapohisi au kuona mwensio amekwenda kinyume, unapaswa kujifanya kama hujaona wala kusikia.

"FIGHT FOR THE ONE YOU LOVE....!!!", kumiliki mtu sio kazi ndogo......!!!
 
nawewe kapunguze uwo mwili MAUMBILE yamwili yakibadilika huchangia sana kuchafua hali ya hewa kwa nyumba... sasa nawewe kua msafi mda ote jiweke mkao wa kutoka mvuto NK lakini ukiendelea kua wangu nimemzowea kuna wenzio wanakazi nae
 
now I can see where the problem is!
nahisi wewe winy waweza kuwa ni sehemu ya tatizo lako!
yawezekana umekuwa too demanding na ukawa mzigo kwa huyo jamaa kiuchumi!

hebu jaribu kuassess demand zako unapohitaji support ya kiuchumi, nahisi kuna mengi nyuma ya pazia
ujafunguka vizuri!

Nilitaka nikwambie ufanye maamuzi magumu, ila hilo la kuwa anakulipia ada limanifanya nigairi.

Lakini huoni kuwa unatakiwa kuwa na strategies? Unadhani huyo alokuchoka hivyo ataendelea kukulipia ada mpaka lini. Nahisi ataacha soon and very soon.

Was it real love au alikuwa ananunua service ambayo kwa sasa hana shida nayo tena? Kama kuna love ataendelea kukulipia...inawezekana hiyo mimba imemchanganya mpaka ameishiwa nguvu za kiume ndo maana hana hamu ya ku do tena.

Jamani hao wanaume mabingwa wa kuongwa ni maplayer wanawake wenzangu...kuweni makini sana na uchaguzi mnao fanya. Nadhani ulomuacha alikuwa hana pesa kama huyu...lakini utashangaa baada ya miaka anakuwa young milionea. Bora za kutafuta wote mume atakuheshimu kuliko akuone umeolewa au umempenda sababu ya dhiki zako.
 
Pole sana mdogo wangu...bado niko concerned na shule yako? Kuhusu suala la fee, nani atakulipia?

Kama alivyosema Billie...umasikini unafanya watoto wetu wawe watumwa kwa kweli...its not her fault ni wazazi wanaozaa bila ya uwezo wa kutunza.

Thanks guys kwa ushauri wenu lakini nadhan nilichelewa kuomba ushauri mwisho ulikua umefika...tumeachana last night think wasn't meant to be
 
siku moja tu haitoshi ku rule out kuwa mmeachana! bado mapema sana!
naamini kwa wapendanao si rahisi kupart just that easy!

Thanks guys kwa ushauri wenu lakini nadhan nilichelewa kuomba ushauri mwisho ulikua umefika...tumeachana last night think wasn't meant to be
 
"...its not her fault ni wazazi wanaozaa bila ya uwezo wa kutunza."

N/K hapa sijui wazazi wanaingiaje? na je uwezo wa kutunza unaupimaje? vinginevyo basi ni watu wachache sana
hapa TZ wangekuwa na haki ya kuzaa...pengine hata wewe usingekwepo! mimi naamini kila mzazi anaweza kulea jambo la msingi ni kuwafanya watoto wetu wawe na heshima na adabu! na uwezo wa kutunza na kulea havina uhusiano wowote na mahusiano!
penginine ndugu yetu winy nae anamapungufu mengi tu ambayo hayajawekwa hapa, kimsingi wote tuliochangi katika hoja hii tumekosea sana KOZ "tumetembelea kiatu mguu mmoja"! kuna wengi tu wanaotoka kwenye familia duni ambao wengi wameishia tu STD7 lakini wako ndani ya mahusiano na wanadumu sana! shida iko hasa kwa baadhi ya hawa wasomi bwana...kila kitu wanasoma mpaka kurasa ambazo hazina maandishi, matokeo yake ndo kama haya!
ni mtazamo wangu tu!

Pole sana mdogo wangu...bado niko concerned na shule yako? Kuhusu suala la fee, nani atakulipia?

Kama alivyosema Billie...umasikini unafanya watoto wetu wawe watumwa kwa kweli...its not her fault ni wazazi wanaozaa bila ya uwezo wa kutunza.
 
mapenzi yanatakiwa yalete upendo amani na furaha lakini mh siku hizi ni mapenzi ni ya uongo, majonzi, na kutokua na amani moyoni
 
no no no no,
sikubaliani na wewe kabisaaaaa
kwa hiyo kwa ushauri wako, winy ajifanye hakuona msga ya mimba na ya X wake???
au mimi sijakuelewa vizuri? naomba nieleweshe

Katika maisha ya mahusiano, jambo la msingi ni kujifunza kuvumiliana na kuchukuliana. Utaacha kila siku, mwisho wa siku utakuja kujuta na kusema niliruka mkojo sasa nimekanyaga mavi. Mara nyingi "NEGATIVE THINKERS" huteswa zaidi na mahusiano, kwani mari nyingi hufikiri kupatwa na mabaya, matokeo yake huyatengeneza mabaya. Ukitaka kukabiliana na mahusiano ni kuwa na uwezo wa kushinda moyo wako katika kuondoa wasiwasi na mashaka juu ya uhusiano wako, hata unapohisi au kuona mwensio amekwenda kinyume, unapaswa kujifanya kama hujaona wala kusikia.

"FIGHT FOR THE ONE YOU LOVE....!!!", kumiliki mtu sio kazi ndogo......!!!
 
Last edited by a moderator:
dunia hii,lol!!watu wanalilia kufanywa!!ok,hakutaki tena japo hukubali
 
no no no no,
sikubaliani na wewe kabisaaaaa
kwa hiyo kwa ushauri wako, winy ajifanye hakuona msga ya mimba na ya X wake???
au mimi sijakuelewa vizuri? naomba nieleweshe

Ndio maana yake....!!!, wakati mwingine hizi simu zinaharibu sana mahusiano; kuona msg kwenye simu hakufanyi jambo hilo kuwa kweli, vile vile mwanume ni mwandamu anaweza kukosea kama wanadamu wengineo; hivyo basi kama hujifunzi moyo wa msamaha, huwezi kudumu katika mahusiano yeyote yale. Wanaume wangapi wamezaa nje ya ndoa na wake zao waliwasamehe na kuendeleza maisha, simaanishi kwamba ni jambo jema kufanya hivyo, bali muhimu kujifunza moyo wa kusamehe.
 
mkuu
kuna makosa hayasameheki.
sasa kama mtu umeshajua mauozo yake yote hayo kabla hajakuoa, unategemea abadilike mkiwa kwenye ndoa?
isitoshe winy amesema jamaa alipoulizwa alikuwa mkali na akakataa kulizungumzia.

alafu iyo justification ya kusema tuache sim za wapenzi wetu silielewi.
kwa maelezo ya huyu dada ni kwamba, ilibidi afanye ivyo baada ya mwenendo wa jamaa kubadilika
sikubaliani kabisa na notion eti unyamaze kimya ili hudumu kwenye mahusiano!! (settle for less?!! what a shame!!)

mbona wapo wanaume ambao ni honest na hata ukimuhisi au kumfuma yupo tayari kuyazungumza kuondoa hizo doubts. Sasa mtu unafumwa, unakuwa mkali, maana yake nini?

Wanawake jamani, acheni kulea uozo wa aina hii.

Ndio maana yake....!!!, wakati mwingine hizi simu zinaharibu sana mahusiano; kuona msg kwenye simu hakufanyi jambo hilo kuwa kweli, vile vile mwanume ni mwandamu anaweza kukosea kama wanadamu wengineo; hivyo basi kama hujifunzi moyo wa msamaha, huwezi kudumu katika mahusiano yeyote yale. Wanaume wangapi wamezaa nje ya ndoa na wake zao waliwasamehe na kuendeleza maisha, simaanishi kwamba ni jambo jema kufanya hivyo, bali muhimu kujifunza moyo wa kusamehe.
 
Last edited by a moderator:
kuna Post moja ya mtambuzi.."Je Kukondeana ni dalili ya kuwa na roho mbaya.." puuza title lakini content yake inafaa!
love breakdowns mara nyingi zatokea koz wengi ndani ya mahusiano wamewekeza nguvu nyingi kutafuta matendo HASI
ya wenza wao! matokeo yake ni kumwaga machozi na kukaribisha magonjwa ya ajabu miilini mwetu! na mbaya zaidi baadhi ya wadada kuhalalisha kurukaruka eti kisa walitendwa (hapa nina ushahidi wa kutosha). lipi bora kumvumilia zimwi likujualo au kutafuta zimwi jipya??
 
kosa lingine,y ulikuwa unaishi nae?
My take:km huna wa kukulipia ada jifanye mjinga upate hiyo ada,bt tafuta mwanaume mwingine huko chuoni kimya2....ila km uwezo wa ada unao tembea mbele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom