Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,834
Maana kumepwaya kila idara ya chama. Ni kama vile kunakupoteana vile.
Hakuna anaeaminika na wa kutoa uelekeo thabiti wa chama, kwasababu ya njaa kali, unyonge wa kipato na woga. Hakuna matumani kwa wanachadema kabisa.
Kitu kizuri ni kwamba kila mwanachadema anaendelea kujishughulisha na majukumu yake ya kila siku. Hayupo anaebabaika na ya mwingine.
Viongozi wa Chadema wasio na ajira, wenye njaa kali waliokua wanategemea pesa za posho na matumizi yao baada ya michango ya wananchi kwenye mikutano ya hadhara, sasa wanajificha kwasababu ya madeni binafsi wanayodaiwa huko mitaani kwao.
Kutoka kwenye mkwamo waliomo sasa, unashauri nini kifanyike Chadema kuziba nyufa za uongozi ndani ya Chadema iliyopoteza uelekeo, kipindi hiki tunapokaribia uchaguz mkuu?
Kwasababu kisiasa,
sio jambo la kawaida kwa chama cha siasa kuelekea uchaguzi, badala ya kuungana na kua imara zaidi, lakini Chadema kinagawanyika na kupasuka na hatimae kua dhaifu zaidi.
Nani tatizo Chadema my friends, ladies and gentlemen?🐒
Mungu Ibariki Tanzania