Kuna nyimbo zinaishi mpaka leo hii

Kuna nyimbo zinaishi mpaka leo hii

It must have been love by Roxete Mimi nimekuwa addicted na kahawa..nakunywa mno...basi hiyo stimu ninayoipata nikiwa na kahawa halafu haka kumuziki kapigwe kwa sauti ya chini najihisi Niko kama atamkavyo Salimkikeke landany(London)...kuna za Michael Bolton nazo moto kwl.Mwanadada..Shania Twain your still the one duhhhh Where are the good old days za mapenzi ya kwanza ktk maisha yangu first love kama first love Enzi za kuandikiana barua..duhhh
 
Tuwekee hapa huo wimbo mkuu.
 
Savin me -nickelback ni masterpiece Work of art
 
Papa wemba -Rail On

Maddona- Hollday
Toninight We celeblety - jamaa anaitwa pablo yuko na manzi ni moja ya song kali zinaoishi

Celion Dion - Am live
Celion Dion - my heart will go on
Celion Dio- power of love
Celion Dion-New Day

Baraka mwisheshe - Rangi ya Chungwa
Mr Blue - Tabasamu
Kaicha - aliyeimba nimemsahau

Always love You- Winnie Houston

Zipo nying sana hizi ni baadhi ya playlist yangu [emoji2956]
 
Ndungu zangu kuna nyimbo zitaendelea kuishi miaka yote yaan. (NYIE WA KISASA SIKILIZENI NYIMBO ZENU WE MPELEKEEE MOTO NAISI ATA WATOTO ZENU WATAPELEKEWA MOTO IVO IVO)

Antlantic starr-always

Celine Dion ft peabo bryson- beautiful and beast

Peabro Bryson ft Regina belle- a whole new word

Roxxete-it must have been love

Antlantic start secret lover

Cyndy- time after time

After 7-till you do me right

All 4 one _ I can love you like that
Hapo kwa Bryson na Regina nyimbo ya 'A whole new world' daaaaaaaah. Hiyo ngoma nakumbukuka ilikuwa ni jioni ya Christmas [emoji319][emoji301] ya mwaka 1999 siku ya ijumaa.

Mtoto Nancy , crush wangu , baada ya kumpa kadi ya Christmas kupitia beki tatu wao. Na yeye hakulaza damu akaniletea kadi, tukawa tumeketi kibalazani tunapiga story, hiyo ngoma ikawa inagonga kwenye spika za mziki mpya wa CD 3 wa sony, alionunua mzee miezi michache iliyopita.

Sasa huu wimbo ukipigwa nakumbuka ile moment wakati tunaongea huku tunaoneana noma usoni. Tulikaa sana pale nje tokea saa kumi na moja hivi hadi saa moja. Nikamsindikiza baadae nikaambulia hug na kiss kwenye shavu..... Dah.... Asieeee hizi nyimbo zinaleta memory sana......
 
Savin me -nickelback ni masterpiece Work of art

Nickelback ni band hatari lakini inachukiwa hiyo wazungu sijui wana matatizo gan wamewageuza wa kuwatania hata kwenye pop culture jokes..brsk white people[emoji3061]
 
Je kuna wanamziki wa miaka hii ya karibuni ambao wanafanya aina hii ya mziki?

Mara nyingi nimejikuta nasikiliza nyimbo za miaka ya 80 / 90
Me redio ukiacha baadhi ya vipindi vichache sana , nimeacha kusikiliza. Natembea na memory cards zangu mbili. Moja ipo garini moja kwenye simu. Nyimbo zangu huwa naelewana na wazee wenzangu.

Hawa madogo viduku huwa wanatoa toa macho hawaelewi hata moja maana upuuzi wanaosikiliza siku hizi wa sijui WCB, mara sijui nani huwa naona daaah sisi tulikuwa na zali sana kupata mziki wa roho miaka ile.

Anyways,ndio wanasema dunia huwa inaenda ikibadilika badilika.
 
Completely.... Michael Bolton
Ukunga anaopiga jamaa katika lile song na mistari yake daaaah.... Hadi demu akaja mwenyewe kuja kumpa mzigo.....

Nyimbo z kipindi kile zilikuwa kiboko yaani. Mwanaume analaumu hadi mwanamke anaelewa na anaingia line bila kuomba hela yoyote anakuja geto kwa gharama zake kufuata ahadi alizopewa katika mistari.
 
Me redio ukiacha baadhi ya vipindi vichache sana , nimeacha kusikiliza. Natembea na memory cards zangu mbili. Moja ipo garini moja kwenye simu. Nyimbo zangu huwa naelewana na wazee wenzangu.

Hawa madogo viduku huwa wanatoa toa macho hawaelewi hata moja maana upuuzi wanaosikiliza siku hizi wa sijui WCB, mara sijui nani huwa naona daaah sisi tulikuwa na zali sana kupata mziki wa roho miaka ile.

Anyways,ndio wanasema dunia huwa inaenda ikibadilika badilika.
Sana mkuu,yaani kama mimi hapa,mazingira ninayofanyia kazi nimezungukwa na vijana hawa wa wcb age,wamenishawishi wamekwama kabisa,wananiuliza sasa huo ndiyo mziji gani hata hauchangamshi? Na mimi nawaambia jinsi ninavyowashangaa waki enjoy mtiririko wa matusi yaliyochanganywa ala za muziki usioeleweka genre yake,.
 
Music wa 80’s na 90’s hautakuja kuchuja, utaishi milele[emoji1666]
Hii ni baadhi;
1.Luther Vandross - Dance with my father
2.Cece Winans - No one
3. Yvonne Chaka chaka - From me to you.
4.Kenny Rogers - Loving arms.
 
Back
Top Bottom