Kuna nyimbo zinaishi mpaka leo hii

Kuna nyimbo zinaishi mpaka leo hii

1.Salt n' Pepper - Where men?

2.Faith Evans feat. P.Didy - Missing You

3.Kimulimuli Jazz Band - Photo Album

4.Afro Jazz (Patrick Balisidya) - Harusi, Natazama Dirishani, Wema Hawana Maisha.

5.Super Matimila (Dr.Remmy Ongala) - Kifo Hakina Huruma,Siku ya Kufa,Mwanza,Mrema,Mambo Kwa Soksi.

6.Tabora Jazz - Dada Lemi.

7.Les Wanyika - Amigo,Safari siyo Kifo.

8.Oliver Mtukudzi - Todi,Neria.

9.Bob Marley - Redemption Song.

10.Sir Elton John ('jinga sana hili lipumbavu') - Sacrifice, Candle In The Wind.

11.Mpongo Love - Ngaya

12.Kanda Bongoman - Yesu Kristo.

13.Mbilia Bell - Nakei Nairobi.

14.Papi Texi & Pepe Kalle (Empire Bakuba) - Mpenzi Bupe.

15.J.B Mpiana - Masuwa,Fex de L'amour.

16.General Defao - Education.

17.G.W.M (Gangsters With Matatizo) - Mwenye Nyumba.

18.Langa - Kiswanganglish.

19.Nako2Nako soldiers - Mchizi wangu.

20.Mule mule FBI (FM Academia) - Yatima.

21.Twanga Pepet - Mwaka wa Taabu.

22.Keisha - Nile Zawadi ya Pendo Lako.

23.Banana Zoro feat. Zahir Ali Zoro - (ule wimbo anaomwimbia dada'ke aliyeacha shule na kutoroka nyumbani).

24.Kali P - Sijui nirudi kijijini?

25.Diamond Sound (chini ya Alain Mulumba Kashama,Ibonga Katumbi 'Jesus',Andrew Sekidia,Richard Mangustino,n.k) -Dar es Salaam Kibindankoi,Neema.
 
Kikumbi Mwanza Mpango aka King Kiki na Orch Marquis wimbo Christmas oyee! Pale anapoimba natoka wapi! Nikacheze miziki ya wana Marquis ooh nakwenda wapi! Dah nasikia raha balaa maana 1980 to 1983 Christmas za enzi hizo tukiucheza Sana huu mziki home.
Afriki alpha Blondy na
Natty dread Now bob marley
 
1.Salt n' Pepper - Where men?

2.Faith Evans feat. P.Didy - Missing You

3.Kimulimuli Jazz Band - Photo Album

4.Afro Jazz (Patrick Balisidya) - Harusi, Natazama Dirishani, Wema Hawana Maisha.

5.Super Matimila (Dr.Remmy Ongala) - Kifo Hakina Huruma,Siku ya Kufa,Mwanza,Mrema,Mambo Kwa Soksi.

6.Tabora Jazz - Dada Lemi.

7.Les Wanyika - Amigo,Safari siyo Kifo.

8.Oliver Mtukudzi - Todi,Neria.

9.Bob Marley - Redemption Song.

10.Sir Elton John ('jinga sana hili lipumbavu') - Sacrifice, Candle In The Wind.

11.Mpongo Love - Ngaya

12.Kanda Bongoman - Yesu Kristo.

13.Mbilia Bell - Nakei Nairobi.

14.Papi Texi & Pepe Kalle (Empire Bakuba) - Mpenzi Bupe.

15.J.B Mpiana - Masuwa,Fex de L'amour.

16.General Defao - Education.

17.G.W.M (Gangsters With Matatizo) - Mwenye Nyumba.

18.Langa - Kiswanganglish.

19.Nako2Nako soldiers - Mchizi wangu.

20.Mule mule FBI (FM Academia) - Yatima.

21.Twanga Pepet - Mwaka wa Taabu.

22.Keisha - Nile Zawadi ya Pendo Lako.

23.Banana Zoro feat. Zahir Ali Zoro - (ule wimbo anaomwimbia dada'ke aliyeacha shule na kutoroka nyumbani).

24.Kali P - Sijui nirudi kijijini?

25.Diamond Sound (chini ya Alain Mulumba Kashama,Ibonga Katumbi 'Jesus',Andrew Sekidia,Richard Mangustino,n.k) -Dar es Salaam Kibindankoi,Neema.
We kweli ni Old skooler. Ila #18 huo wimbo siyo wa Langa hao walikuwa ni kundi la Wakilisha akiwemo Marehemu Langa,Witness na Sarah Kaisi.
We tukikaa pamoja tutaelewana tu.
 
We kweli ni Old skooler. Ila #18 huo wimbo siyo wa Langa hao walikuwa ni kundi la Wakilisha akiwemo Marehemu Langa,Witness na Sarah Kaisi.
We tukikaa pamoja tutaelewana tu.
Mwamba uko njema sana kwenye industry ya 🎶🎼🎺📀📼🎧

Asante kwa kunikumbusha 👊
 
Kama huu uzi utafika ukurasa wa 5 bila kumtaja mdada JUDY BOUCHER utakuwa ni uzi wa hovyo.

Yale mawe yake full emotional kama 'That Night We Met', 'Tears on My Pillow',n.k yanatimulia vumbi nyimbo nyingi za hao mnaoona ni wakali wenu (kama akina Celine Dione,Alicia Keys,n.k).
 
Enzi hizo tuko sekondari, tuna madaftari makubwa yamejaa nyimbo[emoji38][emoji38][emoji38]... kuna wale waliitwa Ace of Base na nyimbo zao kama The Sign, All that's she wants, don't turn around n.k
 
Alan Jackson_ It must be love
 
Shemeji shemeji wa Cuban Marimba
Mambo ya Salumu Abdallah
 
Back
Top Bottom