Kuna nyimbo zinaishi mpaka leo hii

Kuna nyimbo zinaishi mpaka leo hii

Ukunga anaopiga jamaa katika lile song na mistari yake daaaah.... Hadi demu akaja mwenyewe kuja kumpa mzigo.....

Nyimbo z kipindi kile zilikuwa kiboko yaani. Mwanaume analaumu hadi mwanamke anaelewa na anaingia line bila kuomba hela yoyote anakuja geto kwa gharama zake kufuata ahadi alizopewa katika mistari.
Sawa but tafuta hela Kaka usilialie sana.

Mumekuwa matapeli na sisi tume evolve vilivyo.

Hakuna wa kuja kwa gharama zake kisa kaambiwa I will cross the ocean for you, I will go and bring you the moon. Nyokooooo.

🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Nickelback ni band hatari lakini inachukiwa hiyo wazungu sijui wana matatizo gan wamewageuza wa kuwatania hata kwenye pop culture jokes..brsk white people[emoji3061]
Sijui kwann wanaichukia hii band ..hivi utakuwa na details zozote kuihusu

MÊmENtO HoMO
 
The storm is over now - R. Kelly. Binafsi huu wimbo huwa nauelewa sana ukiusikia huachi kutafakari mapito unayoyapitia katika maisha ya kila siku nakujipa moyo kuwa ipo siku yatakwisha na kuwa na ukurasa mpya.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Binafsi mimi sio mhenga, ila nyimbo ninazopendelea kusikiliza ni za wahenga sana hadi vijana wenzangu wananishangaa sana,,,,,,, baadhi ni hizi;

James Ingram- always

Kenny Rogers- through the years

Vanessa Paradis - Jolie Tax

James Ingram -just once

Madonna- the power of goodbye

Rick Astley- Together forever

Rick Astley- Never Give you up

Debarge - the heart is not so smart

Whitney Houston- the greatest love of all

Yvone Chaka Chaka- from me to you

Michael Bolton -said I love you but I lied

Michael Bolton- I could go the distance

Michael Bolton- Missing you now

Lionel Richie- Oh love

Kenny G- forever in love( hii huwa ni instrumental)

Kenny G - the moment(instrumental pia)

Chris De Burg- Lady in red

Julio Iglesias- love is on our side again( huyu jamaa ngoma zake daah[emoji119][emoji119][emoji119])

Monique Seka- adeba

Monique Seka- Missounwa

Monique Seka- Okaman

Madillu System- Ngayo
 
Sawa but tafuta hela Kaka usilialie sana.

Mumekuwa matapeli na sisi tume evolve vilivyo.

Hakuna wa kuja kwa gharama zake kisa kaambiwa I will cross the ocean for you, I will go and bring you the moon. Nyokooooo.

🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
He ukuje haraka tena kwa gharama yako...
 
IMG_5850.jpg

IMG_5851.jpg
 
Abba - Chiquitita

Chiquitita tell me what’s wrong ….


Hiyo mgoma izidi kuishi wengi wenu bado hamjazaliwa wakati ilivuma
 
Back
Top Bottom