ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,065
- 61,398
Kuna uhusiano gani kati ya vita na kanisa katoliki mpaka ulisakame kiasi hicho?
Kwanini kanisa katoliki na sio waislam n.k?
* Una false beliefs
- delusion of persecution
*Una miss interpretation of objects
-Illusion
Hizi sio dalili nzuri kwa afya yako, pia inaonekana unajasira sana na wakatoliki. Tukikuuliza why utajibu hujui nina uhakika 100%
Ushauri wa bure jaribu kucheck afya ya akili yako hospitali
Eti mkuu emerald inawezekanaje Italy ikapigana Vita wakati huo Catholic Church lipo Vatican hukohuko ina maana walishindwa kutoa ujumbe kwa dunia nzima ili Vita ile isitishwe?Mkuu katoliki ni taasisi kubwa dunian, ni dini yenye waumini wengi kuliko dini nyingine
Kwa iyo mtoa mada yupo sawa kabisa, mana kanisa lina jukumu la kuhakikisha amani ipo dunian
Katoliki ni dhehebu sio dini. Ukatoliki upo chini ya mwamvuli wa ukristo.Mkuu katoliki ni taasisi kubwa dunian, ni dini yenye waumini wengi kuliko dini nyingine
Kwa iyo mtoa mada yupo sawa kabisa, mana kanisa lina jukumu la kuhakikisha amani ipo dunian
MKUU unajua huyo aliyeandika N Nani?Kuna uhusiano gani kati ya vita na kanisa katoliki mpaka ulisakame kiasi hicho?