Kuna njama ndani ya CHADEMA


Kiswahil hujui hao wazee ulkutana nao wapi?wachumia tumbo mnajua kujitangazia umaarufu wa kibwege nyie
 
Usaliti wa Shibuda hauna madhara sana kwenye chama kwani hauna mtandao na hakuna anayeufadhili isipokuwa ni fursa anayoijenga ili kulinda nafasi yake ndani ya CCM; Ikumbukwe CDM aliingia kufata upepo na kulinda ubunge wake dhidi ya siasa chafu za wapinzani wake.

Usaliti wa Zitto, unadidimiza chama na kurudisha nyuma harakati za ukombozi; hapo kama una akiri timamu lazima uchukue hatua.
 
Mbona kuna tofauti kubwa tu, zitto ni mtendaji wa kuthoofisha chama chinichini na shibuda yeye ni mropokaji tu giza likiingia anapotezea yote yale yuko kimaslahi.
 
wewe naona chadema ni kama mke mwenza wako...njoo uolewe chadema ili uwe na sababu ya kujishebedua
 
Kamati mbona hadidu rejea mh shibuda hayupo mnamuonea zito kwa kuwa yeye ni tishio kuliko shibuda ???

Zitto ni tishio sana kwa CHADEMA akiachwa bila kufukuzwa historia ya CHADEMA itabadilika na kuwa marehem CHADEMA.
 
Ha ha ha ha ha haaaa ha ha haaaa dah nimecheka mpaka basi duh hakika nimeongeza siku zakuishi.
 
Wewe ndiyo mpuuzi unaburuzwa hata hujielewi bavicha wa ajabu kweli nyie.
MJEPU haujambo? Nakujulisha siyo kila anayevaa kanzu ni sheikh na siyo kila mpinga CCM ni BAVICHA amka kijana.
 
Last edited by a moderator:

Huyu dogo zzk mwisho wake umefika...
 

Io ndio demokrasia iliyo ndani ya chadema. Tofautisha anayetoa mawazo yake na anaejenga makundi ndani ya chama. Yaani anaetaka chama kigawanyike vipande vipande. Chadema imekamilika usifikirie wanarukia mambo. Zitto angekuwa muungwana pamoja na kashfa za kuzuia baadhi ya wagombea wa chama ili wale wa ccm wapite bila kupingwa, kugundulika na chama. Angetulia na kuachana na mambo mengine ya kutaka kukisambaratisha chama. Angejirudi na kuimarisha chama, kwa mtazamo wangu na nimewai kueleza uko mwanzo. Zitto ndie angekuwa mwenyekiti wa chadema 2020 na ni Zitto angekuwa mgombea wa urais wa chadema kwa mwaka huo 2020. Tatizo la Zitto ni tamaa na kutokuwa mvumilivu ndio chanzo ya yote haya. Hivyo Zitto asimlaumu mtu yeyote ktk chama ajilaumu yeye mwenyewe, kama chama wamemwonya na kumvumilia sana na hata viongozi wenzie hawapendi kiondoka kwake kwani alikuwa myu muhimu sana kwenye chama ila matendo yake na tamaa ndio tatizo ya zitto
 
Amleta uzi unahaha sana na kutalalika.
Hujapata sehemu tu ukataga?
 
MH SHIBUDA akihojiwa hot mix alisema wazi kwamba chadema sasa haina tofauti na ccm katika utoaji wa maoni je huo sindio usaliti je kamati kuu hamkuangalia kipindi cha EATV au umekaushia kwa kua is not man u r interested with hii ni doublestandard

jitambue wewe. Zzzk ni msaliti lakini shibuda ni kichaa
 
siasa za ukanda, ukabila,majivuno, ubaguzi,ubabe zina mwisho
 

Pole sana Zitto, umevuna ulichokipanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…