kuna nini nyuma yake?

marveljt

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
1,503
1,479
Za asubuhi, leo katika udondozi wa magazeti kuna hoja kuhusiana na matawi ya cuf kumkataa lipumba. Je, kwa nini majina ya matawi ya lipumba yamekaa kihatari hatari? Mf. Chechnia, bagdad, osama, iraq,

Kuna nini nyuma ya hayo majina au matawi?
 
Back
Top Bottom