Kuna nini?? Nishaurini jamani

Jamaa anaepushwa kitu kibaya,inawezekana kwa spiritual reasons pia,imenitokea mara kadhaa na mimi baadaye nimekuja kujua ni kwa nini. Niliwahi kutokea demu,alikuwa n mkali ajabu,anayway ni wale watoto wa Madagascar, yaani chotara.Jua kwamba akichanganyika mweupe na mweusi kitu kinatoka cha ukweeeeli, bodi la ukweli na vingine vingi. Ghafla nilikosa hamu ya kumalizia gemu. Baadaye nilikuja gundua alikuwa na matatizo ya kiafya kiasi kwamba ningeingia mzigon angenisumbua kielimu na kiuchumi pia . kAKA TULIA MSUBIRI WAKO ANA KUJA. Cha ajabu baadaye kuna demu niliaproach mambo yalienda vizuri na chap chap nikaingia kilaini,kumbe alikuwa bado tyt. So za kuambia changanya na zako.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi wako; kumbe penye wengi hapaharibiki neno.
 
mtarimbo una usalama kweli hapo? eti nilikunywa nikaondoka bila kuaga!!!!! ulishawahi ku-do tena au ndio unataka uanze kujifunzia hapo kwa huyo mwenzio?
<br />
<br />
Tutor B, hapa umeulizwa swali la muhimu sana lakini hujajibu. Huenda tatizo lako linaanzia hapa. Nauliza ulishawahi kusex au ndio unataka kuanza?
 
Kuna jambo kubwa hapo mola anakuepusha nalo, hata hiyo ishu ilishanipata kila nikipanga tukutane napata dharura au yeye,kali kuliko zote day nilisafiri almost 2mth moro kurud bongo nikaonana na mtoto tukapanga game,day ilipofika nikaugua maleria kali mida ile ile tuliyopanga tukutane,nilipopona nikasafir 2wks kurud nikaambiwa demu ana mimba tena washkaj wakanisifu wakijua ni yangu hata dada mtu alifikir ni mimi,kumbe mzigo ulikuwa wa jamaa wa kko halafu alishaikataa ,hivyo that day ningekula mzigo jumba bovu lingeniangukia mimi. Hvyo usilalamike kuna kitu unaepushwa nacho kikubwa pengine ni ngoma mkuu.
 
Nilishawahi; ila si kwa huyo mrembo tunayechengana pasipo sababu ya msingi.
 
Kuna jambo kubwa hapo mola anakuepusha nalo, hata hiyo ishu ilishanipata kila nikipanga tukutane napata dharura au yeye,kali kuliko zote day nilisafiri almost 2mth moro kurud bongo nikaonana na mtoto tukapanga game,day ilipofika nikaugua maleria kali mida ile ile tuliyopanga tukutane,nilipopona nikasafir 2wks kurud nikaambiwa demu ana mimba tena washkaj wakanisifu wakijua ni yangu hata dada mtu alifikir ni mimi,kumbe mzigo ulikuwa wa jamaa wa kko halafu alishaikataa ,hivyo that day ningekula mzigo jumba bovu lingeniangukia mimi. Hvyo usilalamike kuna kitu unaepushwa nacho kikubwa pengine ni ngoma mkuu.
Duh! ya kwako mbona ni kali? Nimeogopa mkuu, siendelei ku-chart naye kwani kwa michango yenu inadhihirisha kuwa kuna jambo laweza kuwa baya iwapo nita - do - na huyo mrembo. Ubarikiwe kwa mchango wako huu ulojaa mfano wa kusisimua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom