Lowasa anawatesa sana aisee!
Muacheni Raisi mtarajiwa afikirie jinsi gani atayatatua matatizo ya wananchi wake!
Huyo ni Raisi anaye subiria kuapishwa!
Enh?wacha we
Anawaza safari ya matumaini na siyo safari ya uhakika
Ameshahesabu nyumbu wake na kujifarji kuwa yeye ndiye rais ajaye.
pamoja na kutoa posho, wafuasi wake hawazidi milioni 4 tz yote.
ndio ivyo!