Kuna nini kwenye wanawake mabonge?

Wakibarehe watakuwa wanene sana

Asilimia kubwa ya waschana wembamba utoton wakilelewa vzr huwa na mashep mazr na makubwa ukubwa
 
Huu utafiti wako jomonii hahaa sijui wa taasisi gani.
 
Ni vema ukaulizia uzito wa mtoto na afya ya mtoto kwa maana ya ukubwa akiwa tumboni inategemeana na nini hapo tungekujibu maana si kila bonge anazaa mtoto mdogo mwembamba wapo hata wembamba ambao wengi tu wanazaa watoto wagodo na wembamba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…