Najadili waliohusika na ajali.Kuna tofauti kati ya madereva wa Chadema na madereva wa wabunge.
Labda uulize kwa nini madereva wa wabunge wengi ni wachaga?!
Majibu mepesi dhidi ya maswali mazito.1:Ile ajali ya Kigwangala dereva mbona hakuumia?
2:Ajali ya Mwiguru mbona dereva hakuumia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti kati ya madereva wa Chadema na madereva wa wabunge.
Labda uulize kwa nini madereva wa wabunge wengi ni wachaga?!
Hahahaa..... Bwashee!Kwakutaka kuhamisha mada ujambo. Umewahi kufanya kazi ikulu kuwa madereva wengi ni wachaga? Au unaropoka tu uoneakane ume comment?
Anyway narudi kwenye mada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kima, ungekuwa Kwa wapogoro ungeshaliwa supu siku nyingi sana.Hahahaa..... Bwashee!
Chadema kwa ujumla ni genge la wahalifu waliojificha kwenye siasa na demokrasia,genge hili hufanyiana umafia wao kwa wao,ndio maana ya hiyo "double standard",Lissu kujua walimtenda itachukua mudaJapo mambo ni mengi, acha tuchague ya kujiuliza!
Wana Bodi ni hivi; nakumbuka mwaka ule Chacha Wangwe alipopata ajali na kufariki papo hapo swali kubwa lilikuwa ilikuwaje katika ajali kama ile dereva bwana Mallya hakupata hata mchubuko. Ni kutokana na mtanziko huo viongozi wa Chadema walisisitiza lazima Mallya ashtakiwe, waliamini kuwa kifo cha Wangwe hakikutokana na ajali ile bali kupigwa risasi kicha gari kugongeshwa.
Kama nilivyosema, mambo ni mengi. Naomba niulize swali hili. Kwenye shambulizi dhidi ya Lissu ambalo lilitokea Septemba 7, 2017 pale Dodoma suala la dereva limejitokeza tena. Kwa mara nyingine dereva si miongoni mwa waliozulika na shambulio lile. Hakupata hata mchubuko licha ya risasi zaidi ya 38 kupigwa uelekeo ule ule aliokuwepo pamoja na Bosi wake.
Tofauti na tukio la kwanza ambapo viongozi wa CDM walilisitiza kuwa mtuhumiwa nambari moja dereva wa Wangwe lazima ashtakiwe; alishtakiwa na kukutwa hana hatia. Huyu dereva wa Lissu viongozi hawataki aguswe. Nini sababu ya mabadiliko haya licha ya ufanano wa ahusika na matukio.
Yako pia maajabu mengi yanayoambatana na tukio hili la pili, ikiwa ni pamoja na namna ambavyo dereva aliweza kukwepa risasi hata moja huku bosi wake zikimpata 16. Je, hakuwa ndani ya gari? Je, tumuamini Musiba anayedai zile hazikuwa risasi za moto?
Hebu tubaki kwenye hili la madereva kwanza...
1. Katika ajali ya Wangwe dereva hakudhulika hata tone...,
2. Katika shambulio la Lissu dereva hakupata hata mchubuko....
Je, ni bahati ya madereva au matukio ya kupanga? Inakuwaje madereva wote wawili wa viongozi wa juu CDM kuwepo katika matukio makubwa lakini wao hawadhuliki hata tone?
Tusiitane majina mabaya, tujadili kwa kutumia bongo sio rangi za bendera!
"Nepotism"Kuna tofauti kati ya madereva wa Chadema na madereva wa wabunge.
Labda uulize kwa nini madereva wa wabunge wengi ni wachaga?!
Hata Dereva wa Sokoine alitoka huku anawasha na fegi huku kashika nyundo mkononi,nasikia Marehemu ile ajali wala haikumdhuru ila alikuwa na Nundu sazi ya Tennis Ball kichwani inasemekana ajali ilikuwa Changa la macho tu1:Ile ajali ya Kigwangala dereva mbona hakuumia?
2:Ajali ya Mwiguru mbona dereva hakuumia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Majibu mepesi dhidi ya maswali mazito.
Ni mashaka ya dereva kutopata hata mchubuko yaliyochochea CDM wakati ule kutaka Mallya ashtakiwe. Akashtakiwa.
Tuendelee kujiuliza maswali.
Japo mambo ni mengi, acha tuchague ya kujiuliza!