Kuna nini kwa demu huyu???

Kuna nini kwa demu huyu???

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,614
Nilisoma naye O'level miaka ya 90; sasa nimekutana naye ukubwani anataka tuka-du - lakini namwogopa, kila tukipanga kuonana najenga sababu za kutoonana naye faragha. Sijui ni kwa nini moyo wangu unamugwaya. Nimueleze wazi kuwa siko tayari au niendelee kumpotezea kiaina.
 
Moyo unaona mbali kuliko macho,usikilize

Kwa hiyo nimpotezee?

Kuna siku nilikaa naye hadi usiku wa manane pale Villa; lakini kila nilipowaza kumbanjua nilishtuka, nilichokifanya ni kumsindikiza hadi kwake nami nikageuza hadi kwangu; leo kanipipia sim ananiuliza ni kitu gani ambacho hana yeye kama mwanamke? Ananilaumu eti ni kwa nini nashindwa kujua kuwa ananipenda.....
 
mmmmmmmmmmmmmh! Majuto Mjukuu!!!
 
vijana wa sikuhizi bana wakikutana wanawaza kugegedana tu....sasa kwa mwendo huo si utagegeda wengi ulosoma nao?? funga zipu kijana.....uk hauna dawa!!!
 
vijana wa sikuhizi bana wakikutana wanawaza kugegedana tu....sasa kwa mwendo huo si utagegeda wengi ulosoma nao?? funga zipu kijana.....uk hauna dawa!!!

Si anapiga na Ndomu Ciello .......................! :biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
About 20years ago? Zimepita nyingi ile mbaya. Posibility moja wapo kuwa infected ni kubwa mno!
 
tupe ur curent status ya mapenzi kwanza , usikute tunashauri mume wa mtu mwenye watoto sita hapa
 
mi mwenyewe wangu mmoja nilisomaga naye miaka ya 80! kaniomba nika-mshave kwake!

mweh hebu nambie shost kwa hiyo ulienda kumshave au ulimpotezea, kwa hiyo alitunza msitu hadi atakapokuona ww ndo umshave si majanga hayo.
 
Kaka we jimwayemwaye, maisha yenyewe mafupi, ebu mpe haki yake ala!
 
Kwa hiyo nimpotezee?

Kuna siku nilikaa naye hadi usiku wa manane pale Villa; lakini kila nilipowaza kumbanjua nilishtuka, nilichokifanya ni kumsindikiza hadi kwake nami nikageuza hadi kwangu; leo kanipipia sim ananiuliza ni kitu gani ambacho hana yeye kama mwanamke? Ananilaumu eti ni kwa nini nashindwa kujua kuwa ananipenda.....

TUTOR
Mungu anapozuia jambo fulani,anajua faida za jambo hilo kwa mtu huyo.
::
Kwa hiyo sikushauri umpotezee,ila nakushauri uvute subira.Maana muda una maajab mengi utakupa sababu kwa nini moyo ulisita.
Vumilia usumbufu na wepesi wa ulimi wake.
=
 
vijana wa sikuhizi bana wakikutana wanawaza kugegedana tu....sasa kwa mwendo huo si utagegeda wengi ulosoma nao?? funga zipu kijana.....uk hauna dawa!!!

ah naona umeanza nawe kutumia neno kugegedana hahaha
kweli kabisa vijana wanataka kugegedana tuuu.
sasa huyu atakuwa hajamfeel kivile ndio maana anasita...she is not ur type physically
 
duh! hi dunia zaid ya kurushana maji hakuna kinachowazwa zaid. lord have mercy lol!
 
Back
Top Bottom