Kuna nini kwenye Sayari ya Venus?

there is nothing like mars.nasa wanasaka attention tuu...apo kwenye mwezi tuu hawakufika walitudanganya.story za mars watazipata wapi ...dunia ni tambarare.for more info enter you tube search moon landing hoax.au flat earth proofs
Kutumia evidence za youtube kucritisize huu uzi ni ajabu kidogo aisee...
 
hv kunachombo chochote kilishawahi kutumwa kwenye jua kuchunguza au kukaribia maana swali hili tulishawahi kujiuliza miaka ming na kukosa majibu yaani chanzo cha jua kuwa na joto kali ni nini napia tumeshazoea kuona kitu chenye joto mfano chuma ukikichoma moto kinakuwa chekundu lakini kwenye jua unatoka mwanga mweupe na si mwekundu ni mahesabu gani yametumika hadi hali ikawahiv mwenye utaalamu anisaidie
Ukifikiria hayo yote najua mwisho utamaliza na Mungu ni mkubwa.
 
hv kunachombo chochote kilishawahi kutumwa kwenye jua kuchunguza au kukaribia maana swali hili tulishawahi kujiuliza miaka ming na kukosa majibu yaani chanzo cha jua kuwa na joto kali ni nini napia tumeshazoea kuona kitu chenye joto mfano chuma ukikichoma moto kinakuwa chekundu lakini kwenye jua unatoka mwanga mweupe na si mwekundu ni mahesabu gani yametumika hadi hali ikawahiv mwenye utaalamu anisaidie

Welding pia ni hivyohivyo.Hata bulb pia.
 
Ni simple sana ni kuwa kwenye core ya jua (sehemu ya ndani kabisa) kunakuwa kuna aina mbili za elements ambazo zipo kwenye mfumo gesi nazo ni helium na hydrogen sasa kinachotokea hapa ni zinaungana (nuclear fussion) kisha baada ya muunganiko huo huwa zinatoa nguvu joto kubwa mno na hii ndio huitwa plasma na huwa zinazungukana kwa spidi kubwa mno hivyo kusababisha umbo duara na hii ndiyo maana jua huonekana kama duara linalotoa mwanga mwanga huo hutokana na reaction nilizotaja hapo juu
 
Back
Top Bottom