Kuna nini CHADEMA mpaka wanaharakati Masoud Kipanya na Maria Sarungi hawafati ushauri wa Lazaro Nyarando?

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,208
42,068
Wasalaam
Kati ya ushauri mzuri aliyowai kuutoa Mh Lzaro Nyarando kwa watu hasa wanao amini kwenye vyama hasa wana chadema ni kujipambanua na kuacha uoga na kutembea kifua mbele na kusema wazi kuwa mimi ni mwana chadema kindaki ndaki au mimi ni mwana CCM kindaki ndaki na sio kujificha na kutembea kwa uoga na kusemea pembeni.

Katika hili nimsifu sana tena sana Lazaro Nyalandu kwa kujinasibu kabisa na kujivunia kuwa mwana chadema tena wazi wazi tena bila unafiki na tena na shawishika sana kuamini yeye amekuwa muumini mzuri wa chadema kuliko hata bavicha ambao wengi wao wamekuwa wakijificha ficha na hata tisheti wanaogopa hata kuvaa....

Kila mtanzania anajua fika Mtangazaji masoud kipanya na Maria Sarungi ni wana chadema tena wenye kadi za chadema kabisa za miaka ya hivi karibuni baada ya Lowasa kwenda chadema na expectation yao ilikuwa ni ushindi kwa Lowasa na walipambana kweli kweli lakini mambo haya kwenda wanavyo taka..... lakini wao wamekuwa waoga kabisa kujitambulisha kuwa ni wana chadema kindaki ndaki japo matendo na maneno yao yanaonesha.....lakini wao wamekuwa wakijificha nyuma ya koti la uana harakati na utangazaji lakini mapenzi yao kwa chadema hayana kifani yanaficha makoti yao.

Sio dhambi kabisa kuwa mwama chadema lakini si jambo jema kuto kujitambulisha na kujivunia chama chako tena unacho kipenda halafu watu wana shangaa 2020 umepewa jimbo kumbe ulikuwa mwana chama wa kisirsiri.....
Lakini bado najiuliza kwanini watu wanaogopa kujitambulisha kuwa wao ni wana chadema? Mbona wengine wana jitambulisha? Chadema ni chafu kiasi wakina Masoud kipanya na Sarungi wanaogopa kujitambulisha? kuna nini chadema mpaka mtu pekee anae jinadi na chadema awe Lazaro Nyalandu?

Wasalaam?
 
haya kapokee buku 7 yako.
 
hawezi kusema direct ila atamtumia kijana wake mpendwa kumsemea
Kijana wake mpendwa ni mwakilishi Wa dar tu, ila mwakilishi wa jumuiya ya kimataifa aliweka msimamo wa serikali na kukiri wazi Tanzania inatambua na kusapoti haki za raia wake zinazokubalika kimataifa ukiwemo na USHOGA na USAGAJI
 
Yaani wewe manenooo yote hayo lengo lako ni kutuambia kuwa Maria na Masoud ni CDM. Shida ni nini sasa? Hiyo ni haki yao kikatiba na sio lazima wajitangaze. Mbona kuna askofu mmoja cardinal ni ccm lakini hajajitangaza na hujamhoji? Mambo mengine ni ya binafsi huna haja ya kuhangaika nayo. Maliza shida zako kwanza
 
Yaani wewe manenooo yote hayo lengo lako ni kutambia kuwa Maria na Masoud ni CDM. Shida ni nini sasa? Hiyo ni haki yao kikatiba na sio lazima wajitangaze. Mbona kuna askofu mmoja cardinal ni ccm lakini hajajitangaza na hujamhoji? Mambo mengine ni ya binafsi huna haja ya kuhangaika nayo. Maliza shida zako kwanza
Nani kasema kuna shida?
 
Back
Top Bottom