SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 614
chuo cha IFM
kinahamishiwa Msata
Bagamoyo, Machinjio ya
kisisasa kinajengwa
bagamoyo, Bandari ya
kisasa nayo inajengwa
bagamoyo, barabara kubwa
ya kuenda Arusha, Tanga na
Mombasa itakuwa inapitia
Bagamoyo. Kwa nini
Bagamoyo tu na sio
sehemu zingine?
kinahamishiwa Msata
Bagamoyo, Machinjio ya
kisisasa kinajengwa
bagamoyo, Bandari ya
kisasa nayo inajengwa
bagamoyo, barabara kubwa
ya kuenda Arusha, Tanga na
Mombasa itakuwa inapitia
Bagamoyo. Kwa nini
Bagamoyo tu na sio
sehemu zingine?