kuna nin hospitali ya Mwananyamala? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuna nin hospitali ya Mwananyamala?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by raymg, Sep 21, 2012.

 1. r

  raymg JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yapata miaka 2 sasa tangia sakata utupwaji wa vichanga litokee katik hosp hiyo, pia hivi karibun tulishuudia kupotea kwa maiti ya mtoto mchanga kwa uzembe wa watumishi wa hosp, but kana kwamba haitoshi leo hii maiti nyingine imetoweka huku ndg wa marehem wakiandamana kudai mwili wa mpndwa wao! Je kuna nn ktk hosp hii ya rufaa? Kwa nn kunakua na matukio yaleyale kila wakati?
   
Loading...