Watz wanaangalia anachofanya kwà kuleta marndeleo sio wanachotaka hao wazunguHalafu anataka aombewe,shwaini!
Hawezi kuleta hayo maende bila kupoteza watu?Watz wanaangalia anachofanya kwà kuleta marndeleo sio wanachotaka hao wazungu
Kama walivyofanya kwenye mikataba ya madini na gas. CCM isingeingia madarakani 2015 nadhani chadema wangeimaliza nchi yetu pendwa ya tanzania kwani wametuibia toka wameanza kuongoza mwaka 1977 hadi ccm iliposhinda urais mwaka 2015Majizi chadema wakipewa hii nchi wanaiuza kwa wazungu .
Kila wakati wanajipendekeza kwa wazungu kama mazuzu na washamba fulani wasiojua historia ya wazungu kwenye nchi hii.
Bongo miyeyusho sana kutokana na maushabiki yenu ya mavyamaMajizi chadema wakipewa hii nchi wanaiuza kwa wazungu .
Kila wakati wanajipendekeza kwa wazungu kama mazuzu na washamba fulani wasiojua historia ya wazungu kwenye nchi hii.
Hii propaganda nyepesi sana kajipapange upya .Serikali haichaki kirahisi hivyoKumbe Rais Magufuli aliwachokoza sana EU? Kuna NGO moja kutoka EU ambayo iliamua kufuatilia sakata la kupotea Ben Saanane na Azory Gwanda pamoja na kushambuliwa Tundu Lissu kwa risasi lakini cha ajabu watu wa hiyo NGO waliamriwa kuondoka nchini haraka iwezekanavyo.
Pia zipo taarifa kuwa kituo cha BBC nacho kiliamua kufuatilia sakata hilo lakini kilipigwa marufuku na kupewa karipio kali. Nini tatizo?
Aidha habari zinasema kuwa NGO moja kutoka EU iliyokuwa ikifadhili program ya "Haki elimu" nayo ilifukuzwa nchini na shughuli zake zote kusitishwa.Nini tatizo?
Hayo yote tisa kumi NGO zilizokuwa zikishughulikia utafiti wa magonjwa yajulikanayo kama "tropical diseases" nazo ziliamriwa kusitisha shughuli zake nchini. Nini tatizo?
Kwa hakika serikali ya Rais Magufuli ina mengi ya kujibu!
Ww kaka utakuwa unageuzwaMajizi chadema wakipewa hii nchi wanaiuza kwa wazungu .
Kila wakati wanajipendekeza kwa wazungu kama mazuzu na washamba fulani wasiojua historia ya wazungu kwenye nchi hii.