Kuna NGO moja na BBC waliokuwa wakifuatilia sakata la Ben Saanane, Tundu Lissu na Azory Gwanda. Waliamriwa kuacha shughuli hiyo mara moja!

Kumbe Rais Magufuli aliwachokoza sana EU? Kuna NGO moja kutoka EU ambayo iliamua kufuatilia sakata la kupotea Ben Saanane na Azory Gwanda pamoja na kushambuliwa Tundu Lissu kwa risasi lakini cha ajabu watu wa hiyo NGO waliamriwa kuondoka nchini haraka iwezekanavyo.

Pia zipo taarifa kuwa kituo cha BBC nacho kiliamua kufuatilia sakata hilo lakini kilipigwa marufuku na kupewa karipio kali. Nini tatizo?

Aidha habari zinasema kuwa NGO moja kutoka EU iliyokuwa ikifadhili program ya "Haki elimu" nayo ilifukuzwa nchini na shughuli zake zote kusitishwa.Nini tatizo?

Hayo yote tisa kumi NGO zilizokuwa zikishughulikia utafiti wa magonjwa yajulikanayo kama "tropical diseases" nazo ziliamriwa kusitisha shughuli zake nchini. Nini tatizo?

Kwa hakika serikali ya Rais Magufuli ina mengi ya kujibu!
Wataishia........wao sasa wanaishia tuendelee kutizama movie sasa tupo episode ya sita bado nane!
 
Kumbe Rais Magufuli aliwachokoza sana EU? Kuna NGO moja kutoka EU ambayo iliamua kufuatilia sakata la kupotea Ben Saanane na Azory Gwanda pamoja na kushambuliwa Tundu Lissu kwa risasi lakini cha ajabu watu wa hiyo NGO waliamriwa kuondoka nchini haraka iwezekanavyo.

Pia zipo taarifa kuwa kituo cha BBC nacho kiliamua kufuatilia sakata hilo lakini kilipigwa marufuku na kupewa karipio kali. Nini tatizo?

Aidha habari zinasema kuwa NGO moja kutoka EU iliyokuwa ikifadhili program ya "Haki elimu" nayo ilifukuzwa nchini na shughuli zake zote kusitishwa.Nini tatizo?

Hayo yote tisa kumi NGO zilizokuwa zikishughulikia utafiti wa magonjwa yajulikanayo kama "tropical diseases" nazo ziliamriwa kusitisha shughuli zake nchini. Nini tatizo?

Kwa hakika serikali ya Rais Magufuli ina mengi ya kujibu!
RAIS MAGUFULI ANA SHIDA KUBWA SANA....HAHITAJI MAOMBI BUT NEED TO CHECK IN PSYCHIATRIC UNIT FOR EVALUATION.
 
Hata watumie nguvu nyingi kuficha maovu yao, siku moja, tena karibu sana, yote yatajulikana.

'Hakuna siri ambayo haitafichuliwa, wala hakuna jambo lililo fichika ambalo halitajulikana na kuwekwa wazi.' - Luka 8:17
 
Ni ajabu tu mtu unataka uruhusu NGO ianze kufuatilia mambo ya nyumbani kwako. Kila kitu kiende na utaratibu .. This is too much.. Achaneni na NGO uchwara .
 
Hakuna kiongozi muuaji aliyewahi kufanikiwa. Ni suala la wakati tu.

Gadaffi aliwaua wananchi wake kama kuku lakini siku aliponyoshewa mtutu baada ya kukokotwa toka kwenye mfereji wa takataka, alipiga magoti kuomba asiuawe.

Watu wakashangaa maana wengi walidhani kuwa kwa vile alizoea kuua alikuwa amezoea pia kufa.

Mauaji yaliyofanywa kwenye utawala huu, kuna siku atalipa. Hiyo siku lazima ipo.
Magufuli hamalizi miaka 10 madarakani salama yake abadilike tu,akiendelea kuwa hivi hakuna atakayeamini kitakachomkuta.
 
Kumbe Rais Magufuli aliwachokoza sana EU? Kuna NGO moja kutoka EU ambayo iliamua kufuatilia sakata la kupotea Ben Saanane na Azory Gwanda pamoja na kushambuliwa Tundu Lissu kwa risasi lakini cha ajabu watu wa hiyo NGO waliamriwa kuondoka nchini haraka iwezekanavyo.

Pia zipo taarifa kuwa kituo cha BBC nacho kiliamua kufuatilia sakata hilo lakini kilipigwa marufuku na kupewa karipio kali. Nini tatizo?

Aidha habari zinasema kuwa NGO moja kutoka EU iliyokuwa ikifadhili program ya "Haki elimu" nayo ilifukuzwa nchini na shughuli zake zote kusitishwa.Nini tatizo?

Hayo yote tisa kumi NGO zilizokuwa zikishughulikia utafiti wa magonjwa yajulikanayo kama "tropical diseases" nazo ziliamriwa kusitisha shughuli zake nchini. Nini tatizo?

Kwa hakika serikali ya Rais Magufuli ina mengi ya kujibu!
Kwanini wao wachunguze? Mbona waafrika hawachunguzi huko kwa watu weupe?. Acheni uzwazwa na kuanza kufikiria zaidi kufanya wenyewe kila jambo
 
Kwanini muombe misaada na kibajeti chenu cha kishenzi kitegemee kodi za wananchi wao? Hawara unayemuhudumia kila kitu lazima uwe na mamlaka naye.

Acheni ujinga wenu. Mnalelewa kama mahawara zao afu hutaki amri zao?
 
Na huyu mtu ajue tu,siku mambo yakiharibika/maji yakizidi unga,wafuasi wake wote wanaomzunguka na kumpa support leo hii,watamkana/watamkimbia kama walivyofanya wafuasi wa Yesu (wanafunzi wake) siku ile anakamatwa na Wayahudi kabla ya kuteswa.

Watamtosa!

Waliowaonyesha Wamarekani mahala lilipo shimo alilojificha Saddam walikuwa ni ma bodyguard wa Saddam ambao walikamatwa Baghdad.

Walipoenda nao kijijini Tikrit walipofukua shimo wakamkuta Saddam peke yake ndani ya shimo. Nje ya shimo hapo shambani walikuwepo vijana watatu ambao alikuwa anaishi nao na kumtunza miezi 10.

Unatoka kuwa dikteta wa dola la kimabavu, neno lako ni amri ya Mtume, unashuka mpaka unabaki na duara la watu watatu duniani halafu unaingia mwenyewe kwenye andaki. Unakamatwa peke yako.

Siku maji yakizidi unga hata yule mjeda anaesimama nyuma yake haingii nae kwenye shimo!
 
Kwanini muombe misaada na kibajeti chenu cha kishenzi kitegemee kodi za wananchi wao? Hawara unayemuhudumia kila kitu lazima uwe na mamlaka naye.

Acheni ujinga wenu. Mnalelewa kama mahawara zao afu hutaki amri zao?
Funguka akili, acha kufikiria km waliosababisha hadi taifa kufikia hapa.
 
Back
Top Bottom