Kuna ndoa hapa kweli?

kubwa rafiki yenu ajaribu kuongelea maswala ya ndoa jibua atakalopewa ndo itampa mwelekeo, nadhani dada atakuwa umri umeenda sudhani kama atakuwa bado anajoto la ujana sana.
 
Moyooooooooooooooooooooooooo...!

Tatizo moyo imependaana hata akiwa Katibu mkuu wa UN na jamaa akaendelea kuwa dereee bado mapendeko yataendelea kuwapo tu.
 
ubushoke si sawa lazima asimame kama kichwa cha nyumba sema na yeye ajiongeze apate mtaji afungue ata biashara nyingine na si kutegemea hiyo tax tu,
 
Samahani kwani real love inakuwa determined na uwezo wa kifedha wa mtu?
 
ushingae km dada kapenda kweli na mahar atajitolea ili mshikaji apokelewe home. sasa hapo kimbembe kwa wapambe cjui utakuja kueleza huku unarukaruka kwa msisitizo.
 
Japokua dem na mshakaji bado wako na msimamo wao ule ule

umeshajijibu mwenyewe hapo juu.

kutokana na msimamo wao, jibu ni ndio kuna ndoa
 

si ndo hapo mkuu! Hebu wamwache jamaa ajirie vyake vya kisomi tena raha iliyoje
 
Ndoa ni MAKUBALIANO baina ya watu wawili walioamua wao wenyewe bila kushinikizwa na mtu yeyote kuishi pamoja kama mke na mume.The rest ni kujaza server.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…