Kuna mwenye shaka juu ya umuhimu wa nafasi za wakuu wa Mikoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna mwenye shaka juu ya umuhimu wa nafasi za wakuu wa Mikoa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mo-TOWN, Jun 1, 2011.

 1. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  Ni zaidi ya miezi sita sasa DSM ina kaimu mkuu wa mkoa ambaye naye ni mkuu wa mkoa wa Lindi kama sijakosea. I guess naye atakuwa na kaimu kutoka mkoa mwingine (may be RAS).

  Walau kwa wale mnaofanyakazi mashirika ya kibinafsi hata serikalini inawezekanaje nafasi kubwa (position) kuwa bila mtu kwa kipindi chote hicho?

  Hapa kuna mambo mawili tu kwanza kama kwa muda wote huo hakuna replacement na shughuli zinaendelea kama kawaida basi hiyo position si muhimu interms of value for money kwa general public (kwa individual its well and good salary gari V8 etc)

  Pili ni ili swala la mkuu wa mkoa mwingine kukaimu mkoa mwingine. Mimi nafikiri kiutendaji lina ripple effect ambayo si nzuri hata kidogo. So we have something like this mkuu wa mkoa Lindi anakwenda kukaimu DAR Lindi say RAS anakaimu haya kazi za RAS nazo zinakaimiwa etc etc. Ninachofahamu mimi ni kwamba swala la kukaimu lina limitations, kwa kwa hiyo ktk hiyo chain nzima u can imagine aina ya decisions zitazokuwa zinatolewa na maelezo kwa wanaotaka huduma.

  Like I said hebu tuangalie hili swala imekaaje.
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  m tired with this madness,
  post nyingine hazina sababu kuwepo, huko ni kupeana mishahara ya bure tu..tuna meya wa jiji na manispaa, tuna wakuu wa wilaya na mikoa..khaaa
   
 3. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mkuu sijui mkuu wa kaya anawaza nini nimepita Kilimanjaro juzi nako Mkuu wa mkoa anakaimu mkuu wa mkoa wa Tanga, na RAS amestaafu na aliyepo anakaimu, ni zaidi ya miezi sita kwani aliyekuwa mkuu wa mkoa alikwenda kugombea ubunge Iringa ambako alikosa na aliyekuwa RAS amestaafu, kumbuka unapomkaimusha mtu ofisi ni lazima alipwe posho ya kukaimu na hawa sijui watalipwa hadi lini....Tanzania yetu, shamba la bibi
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  JK kazi imemshinda mpaka hapo
   
 5. h

  handeni Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri huyu mkuu wa nchi anatest zali ili ikiwezekana afutilie mbali cheo cha Mkuu wa mkoa.
   
 6. K

  Kahinda JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 849
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Labda hali ya kifedha ni mbaya au ana subiri bajeti kwanza. hata hivyo wasiwasi wangu ni juu ya ndg Rais kama si kwamba uwezo hana wa uongozi basi hajali dhamana aliyopewa na wananchi jambo ambalo naliona ni la hatari kabisa kwa maana tunaelekea kwenye vurugu ambazo hazitakuwa na mtu mwenye ubavu wa kuzisimamia.

  Pili nina wasiwasi na washauri wake kuwa pia hawana uwezo kwa majukumu waliyokabidhiwa kama sivyo labda hawasikilizi.
  Ushauri ni kazi ngumu sana kwani "ukiwa mbaya mambo yote yanavurugiga, na ushauri ukiwa mzuri mambo yanaenda mruwa".
   
Loading...