Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,206
- 5,074
Unadhani anahusikaga?Hakuna kitu bhana.Vitisho vimekuwa vingi lakini huyo msimbe naye kama siku zake zinahesabika.Yangu macho nisije kuitwa prophet of doom
Kwanini asihusike wakati yeye kashika mpiniUnadhani anahusikaga?
Haha.
soma kwa umakini.
kwahiyo Jiwe alishikilia makali sio?Kwanini asihusike wakati yeye kashika mpini
Can't knock the hustleKila Jambo lina Mipaka yake Ndg Wanajamvi.
Siku Za Karibu Kumekua na Mwanasiasa alisahau kipimo cha Uhuru na kila Kauli hakikisha uhujumu msalahi ya Nchi.
Kama kweli unawapigania Watanzania usifanye mambo ukidhani unamkomoa Rais, Waziri kumbe unaangamiza Utalii, Biashara za watanzania wenzako
Wanasiasa, Viongozi wa Dini, Wanaharakati muonyeni sana huyo Kijana.
Uzuri Chepeo likitoka alirudi bure laazima uchimbiwe.
CC domo kali.
Ref: Slow slow.
Hivi huoni kama burudani watu wakimalizana huku wewe umekaa sehemu unajua mshindi ni nani?Kuna raha yake man sema msimbe nae akae mguu sawa yajayo sio mazurikwahiyo Jiwe alishikilia makali sio?
labda mpini wa toothpick
kuna muujiza apostlesKuna nini kimetolea huko Tanganyika?
Hizo ni Tuhuma tu Kaka kama zile za Dogo wenu kula michango.Ukishazoea kuua ghafla hushibi damu.
Damu ya binadamu mwenzio unaona sawa na mvinyo unaokunywa ukijisikia.
Wewe muuaji baada ya kumuua Thadei Ole Mushi sasa umenogewa damu za watu kwa visenti unavyolipwa.
Tatizo gari limepata pancha tairi zote 4. Dereva hataki na amegoma kusimamisha gari tuzibe au kubadilisha tairi ili gari liende kwa taratibu za muundo wake.(Ktb)Kila Jambo lina Mipaka yake Ndg Wanajamvi.