najiuliza kuna mwanamke ambaye katika maisha yake ya mahusiano kuanzia galfriend n boyfriend, hadi husband and wife hajawahi kutendwa? (cheated)
Kwani jamaa yako unatembea nae kila eneo?Amini wapo wanaume wasiocheat!Mimi mpaka sasa hivi kucheatiwa nasikia kwa jirani tu!
Ulikuta ya kichina hyo au ali2mia ndimWapo wengi, mimi nina wife wangu ndiye nilikuwa boyfriend wake wa kwanza. Na nilimkuta akiwa bikira na sasa tuna mtoto mmoja. Nilimkuta akiwa na hali hiyo akiwa na age ya 26yrs. Sasa ni very rare kukuta mwanamke bikira.
Inawezekana nafanya hivyo!Kwani jamaa yako unatembea nae kila eneo?
Natamani kujua wewe ni mwanaume wa namna gani.Je unampa mkeo mapenzi yote bila kutangatanga kwa wanawake wengine? Unam treat kwa heshima? Humnyanyasi?
Ulikuta ya kichina hyo au ali2mia ndim
Sina uhakika kama yupo mwanamke wa hivi,na kama yupo basi atakuwa hajui tu kama anachitiwa..au aliwahi kuchitiwa..