afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,297
- 2,780
Hahaha we jamaa unawaza kulika tuKuna uzi unaelezea single mothers pitia kule naskia wanatafunika kirahisi sana

Hahaha umeua mkuuSwala la mke unakuja kuomba ushauli jamii forum..,? Upo siriaz kweli.. Tukikwambia umuowe kesho utakuja tena kuomba ushauli je nizae nae?
Mshangae na ww,kwani mtoto ni sumu?
Achaaaa uvulana mkuu be a man tumia kichwaa cha juu kufanya maamuz achaaaa kuvuka road ukiwa umefunga [emoji85]Mimi ni kijana nilikuwa nasoma nje ya East Africa na nilikutana na huyu mwanamke katika mazingira ya kusaidiana maana mi nilikuwa mwenyeji katika mji huo na alikuja katika eneo karibu nilikokuwa naishi yani jirani tu.
Sasa katika heka heka zangu za ubachela nilipata hamu ya ku share nae kitanda. Japo tulikuwa wengi tunafukuzia ila mimi nilibahatika kula tunda. Sasa wakati siku zinaenda alitokea kunipenda sana kuliko hadi kiasi akahisi mimi ndo mumewe japo wote tulikuwa chuo.
Kwakuwa hali yake ya kiuchumi haikuwa poa sana tukawa tunasaidiana japo na mimi niko chuo. Kipindi cha kodi la pango kilipofika ikabidi kuumiza kichwa ili kulipa sasa nikaona njia sahihi ni kuongea na huyo mtoto ili kama ikifaa na kwakuwa tumependana tusaidiane kulipa yani tukae pamoja nyumba ambayo nilikuwa naishi yeye ahamie kwangu na uzuri alikubali maisha yakaenda.
Sasa baada ya kukaa kwa muda mrefu tulianza kupeana story kujuana vizuri kiundani ndo akanipa story kuwa alikuwa na mtu wake wa kwanza na alimpenda na jamaa alimlazimisha kuzaa mtoto na jamaa alikuwa na advantage kwakuwa alikuwa anafahamika kwa upande wa kina binti kuwa ni wapenzi (nafupisha). Baada ya muda manzi alikuja kujua kuwa jamaa ana watoto zaidi ya 6 kutoka wanawake tofauti na yeye akiwemo na wamepishana kujifungua kwa mwezi moja hadi miwili.
Sasa wameachana mwaka sasa na na pia baba wa binti amesema hataki kumsikia huyo jamaa hata kidogo na manzi anadai kuwa hataki tena nae kumsikia hata kidogo.
Nimekaa nae kweli ana mapenzi mazuri na pia sio msiri hata kidogo kila jambo ananiambia hanifichi na pia ni mkali sana hapendi kutaniwa na wanaume hata nikiwa sipo hapendi mazoea.
Naomba Ushauri:
Manzi ananingangania kuwa mimi ndo mume wake na angependa tuishi wote na yuko tayari kunipa hata mtoto. Mimi sasa wasiwasi wangu ni kuhusu huyo jamaa yake wa zamani na kuhusu mtoto. Nilimwambia kuhusu kumuacha mtoto kwa mama akadai hapana lazima aishi nae kwa hali yoyote.
Pia tumelingana miaka tumepishana mwezi tu na yeye ana somea ualimu wa secondary na sifa ya mwisho anajua kubana matumizi na hapendi kutumia pesa vibaya hasa swala la starehe.
Je atanifaa kwa maisha?
Acha hizo, huoni misifa hiyo yote kwa Manzi anampenda ile mbaya.Wewe je unampenda? Ukiondoa hilo swala la mtoto na baba mtoto moyo wako uko tayari kwake?
[emoji121]Mimi ni kijana nilikuwa nasoma nje ya East Africa na nilikutana na huyu mwanamke katika mazingira ya kusaidiana maana mi nilikuwa mwenyeji katika mji huo na alikuja katika eneo karibu nilikokuwa naishi yani jirani tu.
Sasa katika heka heka zangu za ubachela nilipata hamu ya ku share nae kitanda. Japo tulikuwa wengi tunafukuzia ila mimi nilibahatika kula tunda. Sasa wakati siku zinaenda alitokea kunipenda sana kuliko hadi kiasi akahisi mimi ndo mumewe japo wote tulikuwa chuo.
Kwakuwa hali yake ya kiuchumi haikuwa poa sana tukawa tunasaidiana japo na mimi niko chuo. Kipindi cha kodi la pango kilipofika ikabidi kuumiza kichwa ili kulipa sasa nikaona njia sahihi ni kuongea na huyo mtoto ili kama ikifaa na kwakuwa tumependana tusaidiane kulipa yani tukae pamoja nyumba ambayo nilikuwa naishi yeye ahamie kwangu na uzuri alikubali maisha yakaenda.
Sasa baada ya kukaa kwa muda mrefu tulianza kupeana story kujuana vizuri kiundani ndo akanipa story kuwa alikuwa na mtu wake wa kwanza na alimpenda na jamaa alimlazimisha kuzaa mtoto na jamaa alikuwa na advantage kwakuwa alikuwa anafahamika kwa upande wa kina binti kuwa ni wapenzi (nafupisha). Baada ya muda manzi alikuja kujua kuwa jamaa ana watoto zaidi ya 6 kutoka wanawake tofauti na yeye akiwemo na wamepishana kujifungua kwa mwezi moja hadi miwili.
Sasa wameachana mwaka sasa na na pia baba wa binti amesema hataki kumsikia huyo jamaa hata kidogo na manzi anadai kuwa hataki tena nae kumsikia hata kidogo.
Nimekaa nae kweli ana mapenzi mazuri na pia sio msiri hata kidogo kila jambo ananiambia hanifichi na pia ni mkali sana hapendi kutaniwa na wanaume hata nikiwa sipo hapendi mazoea.
Naomba Ushauri:
Manzi ananingangania kuwa mimi ndo mume wake na angependa tuishi wote na yuko tayari kunipa hata mtoto. Mimi sasa wasiwasi wangu ni kuhusu huyo jamaa yake wa zamani na kuhusu mtoto. Nilimwambia kuhusu kumuacha mtoto kwa mama akadai hapana lazima aishi nae kwa hali yoyote.
Pia tumelingana miaka tumepishana mwezi tu na yeye ana somea ualimu wa secondary na sifa ya mwisho anajua kubana matumizi na hapendi kutumia pesa vibaya hasa swala la starehe.
Je atanifaa kwa maisha?
Sasa kakuzidi mwaka au mwezi? Namuhurumia sana huyo mdada kupata mtu asie jifahamu.Pia tumelingana miaka tumepishana mwezi tu
Kwani ni lzm acopy lifestyle ya Kanye?mtt tuu ndio iwe kikwazo....??
au kuna jingine...!!!!!
Kimkadashian alicheza movie za uchi ila mdogo angu kanye akaja kuchukua zigo na maisha yanaenda