Kuna mwana MMU aliyeko Chicago?

Kuna mwana MMU aliyeko Chicago?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,072
Reaction score
16,624
Kama kuna mwana MMU aliyeko Chicago katika jimbo la Illnois nchini Marekani ani PM.Siku tatu zijazo nitakua huko, kuna mambo mawili matatu nataka kumuuliza.

Asanteni.
 
Hay hongera kwa kupanda ndege!!!!
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Kama kuna mwana MMU aliyeko Chicago katika jimbo la Illnois nchini Marekani ani PM.Siku tatu zijazo nitakua huko, kuna mambo mawili matatu nataka kumuuliza.

Asanteni.
Nipo Illinois St Luis,
 
Usisahau kunipitia hapa Mongolia........kuna mawili matatu nataka tubadilishane......
 
Mimi nipo Amsterdam ukipata shida in connecting flight let me know
 
Back
Top Bottom