Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,332
- 5,018
Mbona Mimi sijabishana na wewe Nimekuuliza tu Mungu Ni niniKama unanipinga na kusema Mungu yupo, thibitisha Mungu yupo.
Mimi reference yangu ya kwanza kuhusu kutokuwepo kwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ni Epicurian Paradox.
Nimekwambia Mungu ni hadithi tu, hayupo katika uhalisia.Unafanya kosa lile lile la awali,nililiona huko juu ukimjibu mtu hivi. Inakuwaje Mungu kuwa hadithi? Hii ndiyo tafsiri ya Mungu kwa mtu aliyekuuliza swali ili apate kufahamu Mungu ni nini?
Sawa,hii ni tafsiri ya wanaoamini katika Mungu,bado wewe hujatoa tafsiri yako ya Mungu ni nini.
Hapa unatembea katika mdundo wa watu fulani ambao mimi siwajui na mwishowe umehitimisha kutoa shutuma dhidi yao.
Nawezaje kuamini kitu ambacho sijapata tafsiri sahihi kutoka kwako Ila umetoa maelezo marefu yanayoshutumu watu fulani ambao hawapo katika mjadala?
Bado hujatoa tafsiri ya Mungu ni nini ila umeongeza msamiati mwingine ambao unahitaji kufafamuliwa pia.
Hadithi ni nini kwa Mujibu wa maelezo yako ili nipate tafsiri sahihi ya Mungu?
Baada ya kunijibu,naomba unipe tafsiri ya Mungu ni nini mkuu.
Asante.
Kwa hivyo umekubali kwamba Mungu ni hadithi tu?Mbona Mimi sijabishana na wewe Nimekuuliza tu Mungu Ni nini
Hadithi haimaanishi Mungu nionyeshe dictionary inayosema tafasiri ya Mungu hadithi.Kwa hivyo umekubali kwamba Mungu ni hadithi tu?
You are making a logical fallacy, it is called "dictionary fallacy" or "appeal to definition".Hadithi haimaanishi Mungu nionyeshe dictionary inayosema tafasiri ya Mungu hadithi.
Una ilizwa hiki unajibu kile kila kitu kina muongozo wake uliokubaliwa na wataalamu wa kitu husika umeulizwa. Kitu kidogo tu unapayuka payuka tu jibu nilicho kuuliza acha mihemuko na hoja ambazo ni irrelevant na nilichokuuliza.You are making a logical fallacy, it is called "dictionary fallacy" or "appeal to definition".
Dictionary ikisema wewe ni tumbili, utakuwa tumbili kweli?
Wewe huna uwezo wa kuchambua mambo, umeiachia kazi hiyo dictionary?
Unaelewa kwamba hata wewe unaweza kutunga kitu, kikakubalika, kikaingia kwenye dictionary?
Thibitisha Mungu yupo, acha longolongo.
Nimekufundisha kitu kipya ambacho najua ulikuwa hukijui maishani mwako, dictionary fallacy.Una ilizwa hiki unajibu kile kila kitu kina muongozo wake uliokubaliwa na wataalamu wa kitu husika umeulizwa. Kitu kidogo tu unapayuka payuka tu jibu nilicho kuuliza acha mihemuko na hoja ambazo ni irrelevant na nilichokuuliza.
I have understand Master, then tell me what is God?Nimekufundisha kitu kipya ambacho najua ulikuwa hukijui maishani mwako, dictionary fallacy.
Ila usivyo na maarifa ya kujiongeza, hata hujaweza kujifunza.
Kuuliza si hoja, unaweza kuwa kiziwi usiyejua sauti, unajua rangi tu, ukaniuliza "rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani? Kwa sababu hapo ndipo upeo wa dunia yako, unaelewa dunia kwa rangi, hujui sauti.
Sasa, mimi nakujibu, wimbo wa taifa hauna rangi, una sauti, sauti ni kitu tofauti na rangi.
Hutaki kujifunza, unang'ang'ania tu "Nijibu swali langu, rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?"
Naishia kukuonea huruma tu kwa upeo wako kua mdogo.
You are making an argument based on appeal to definition, nakuonesha mpaka link inayoonesha kosa ulilofanya.
Bado huelewi.
Tatizo lako ni nini? Hujui Kiingereza?
Maana nisije kupoteza muda kukupa article imeandikwa vizuri Kiingereza, wakati mwenzangu hujui Kiingereza.
How many times? So I could finish this once and for all.I have understand Master, then tell me what is God?
Usilete u much know of overthinking, and guessing u're genius no Bro u're running crazyYou are making a logical fallacy, it is called "dictionary fallacy" or "appeal to definition".
Dictionary ikisema wewe ni tumbili, utakuwa tumbili kweli?
Wewe huna uwezo wa kuchambua mambo, umeiachia kazi hiyo dictionary?
Unaelewa kwamba hata wewe unaweza kutunga kitu, kikakubalika, kikaingia kwenye dictionary?
Thibitisha Mungu yupo, acha longolongo.
Story gani ebu zitaje apaHow many times? So I could finish this once and for all.
God is a character in a story. A made up story. Just like 007 James Bond is a fictional character made up by Ian Fleming. Just like Willy Gamba is a fictional character made up by Aristablus Elvis Musiba.
Other than that fictional story, God does not exist.
If you think otherwise, I am happy to hear your proof showing that God exists.
Haya tuache mambo mengi.Usilete u much know of overthinking, and guessing u're genius no Bro u're running crazy
Acha habari za et what if tree is not tree?
Et Mungu Ni hadithi hata mtoto mdogo hawezi kukuelewa hapa
Acha ujuaji wa google
Za Biblia, Quran, vitabu vingi vya dini, zako wewe.Story gani ebu zitaje apa
Tulia utaelewa tu vp kwa dini zilizo nje ya hivyo vitabu nazo unasemajeZa Biblia, Quran, vitabu vingi vya dini, zako wewe.
Ndiyo maana mpaka sasa hujathibitisha Mungu yupo.
Ukibisha, thibitisha Mungu yupo nje ya hizo stories.
Dini gani? Zimethibitisha Mungu yupo?Tulia utaelewa tu vp kwa dini zilizo nje ya hivyo vitabu nazo unasemaje
Ngoja Kwanza tunatumia muongozo upi ili kupata kilicho sahihi au kichwa chako kilicho haribiwa na overthinking ???Dini gani? Zimethibitisha Mungu yupo?
Kwa hizo za hivyo vitabu umekubaliana nami?
Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya swali nililokuuliza na vile unajibu mkuu.Nimekwambia Mungu ni hadithi tu, hayupo katika uhalisia.
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo nje ya hizo hadithi.
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo nje ya hadithi.
Natumia logical consistency.Ngoja Kwanza tunatumia muongozo upi ili kupata kilicho sahihi au kichwa chako kilicho haribiwa na overthinking ???
Maana naona umekomaa kuelezea unacho waza na Mimi Sina hakika na afya ya akili yako!
Labda niliweke swali langu katika namna hii;Kwa hivyo umekubali kwamba Mungu ni hadithi tu?