Kuna muda upwiru unakaba mpaka unaamua ukanunue Malaya

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,702
Reaction score
19,609
Jana jioni nimetoka kazini nina upwiru balaa, nikasema embu ngoja niende guest kwanza nikanunue, mimi huwa sipendi sana kwenda sehemu za starehe hivyo nikalazimika kumuagiza jamaa yangu anichagulie mwanamke,kweli akafanya hivyo, akaja akanipa ripoti.

Bwana ee gafla nikaingiwa na roho ya ukinyaa, nikafikiria wale malaya wanavyofanya ufuska, nikabadili gia angani nikamwambia nimegaili, tukarudi senta, nikanunua matikiti mawili moja tukalila moja nikapeleka home.

Aise kidogo ninunue malaya.
 
Huwezani na haya Mambo. Fanya kuoa
 
Bwana ee gafla nikaingiwa na roho ya ukinyaa, nikafikiria wale malaya wanavyofanya ufuska, nikabadili gia angani nikamwambia nimegaili, tukarudi senta, nikanunua matikiti mawili moja tukalila moja nikapeleka home.💪🏿💪🏿🔥
 
Jana jioni nimetoka kazini nina upwiru balaa, nikasema embu ngoja niende guest kwanza nikanunue, mimi huwa sipendi sana kwenda sehemu za starehe hivyo nikalazimika kumuagiza jamaa yangu anichagulie mwanamke,kweli akafanya hivyo, akaja akanipa ripoti.

Bwana ee gafla nikaingiwa na roho ya ukinyaa, nikafikiria wale malaya wanavyofanya ufuska, nikabadili gia angani nikamwambia nimegaili, tukarudi senta, nikanunua matikiti mawili moja tukalila moja nikapeleka home.

Aise kidogo ninunue malaya.
dah,
umefanikiwa kukwepa kununua utiai sugu, gono, kaswende au ukimwi kisayansi sana gentleman,

well done kwa kumake opportunity cost decision yenye faida kiafya gentleman 🐒
 
acha wenge mkuu
Wewe ukiamua jambo usiwe na tabia za kurudi nyuma nyuma next time litakukuta jambo.. hujaingia kwenye 18 zao ungekojoa na upwiru wako.. kaka mambo.. twende basi... twende nikakupe... twende nikakupe vitu vizuri hadi ukojoe.. umeshikwa mkono peasant kabisa hapo hujashikwa bega
 
Vijana wa hovyo watakuja kukuambia kapige nyeto !
On a serious note.... kama una hio tabia ya kununua acha... kuna magonjwa, mikosi ... n.k

Kama huna mke oa, ama hauko tayari kuoa..tafuta kadem kitaani hapo uweunapoa hapo ..... usiruke ruke huko na huku
 
Back
Top Bottom