Kuna muda upwiru unakaba mpaka unaamua ukanunue Malaya

Jana jioni nimetoka kazini nina upwiru balaa, nikasema embu ngoja niende guest kwanza nikanunue, mimi huwa sipendi sana kwenda sehemu za starehe hivyo nikalazimika kumuagiza jamaa yangu anichagulie mwanamke,kweli akafanya hivyo, akaja akanipa ripoti.

Bwana ee gafla nikaingiwa na roho ya ukinyaa, nikafikiria wale malaya wanavyofanya ufuska, nikabadili gia angani nikamwambia nimegaili, tukarudi senta, nikanunua matikiti mawili moja tukalila moja nikapeleka home.

Aise kidogo ninunue malaya.
We jamaaa, umeacha kula malaya ukaenda kujigijigi tikiti?? Noma sana
 
Kwa hiyo?
20260515_180519.jpg
 
Nyie ndo mnarudisha uchumi nyuma, kulikua na ulazima gani a kukandia biashara za watu coz I'm PIMP.
 
Jana jioni nimetoka kazini nina upwiru balaa, nikasema embu ngoja niende guest kwanza nikanunue, mimi huwa sipendi sana kwenda sehemu za starehe hivyo nikalazimika kumuagiza jamaa yangu anichagulie mwanamke,kweli akafanya hivyo, akaja akanipa ripoti.

Bwana ee gafla nikaingiwa na roho ya ukinyaa, nikafikiria wale malaya wanavyofanya ufuska, nikabadili gia angani nikamwambia nimegaili, tukarudi senta, nikanunua matikiti mawili moja tukalila moja nikapeleka home.

Aise kidogo ninunue malaya.
Mkuu ukitaka kula bata uache kumchunguza 🤣🤣
 
Kwahiyo matikiti yanamaliza upwiru?, au mimi ndiyo sijaelewa vizuri
 
Back
Top Bottom