Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,085
- 110,793
- Thread starter
- #21
Na Mungu akubariki sanaUnafanania Baba Mchungaji japo huu upande wa leo umezidi bana. Kwani si ajabu Jumamosi na jumapili zikatumika kutafakari hiki ulichokiandika na ikifika jumatatu watu wakawa wapya kabisa. .
Sent using Jamii Forums mobile app