Kuna mtu yoyote anayeweza ku crack apple ID on IOS7

Kuna mtu yoyote anayeweza ku crack apple ID on IOS7

Jaribu kui restore kwa kutumia Itunes then ukianza itakua kama mpya then utaweza ku create new apple id. Kuirestore kwakutumia itunes unaiweka simu kwenye DFU mode

Hahahaaa, hakuna kitu baba unamchosha tu!
mtu atakayekuja na solution ya hii ishu kwa sasa namhakikishia atatengeneza pesa mpaka aumwe!
 
Na ndo maana huwa nikataka kununua gadget yoyote ile huwa lazima niizunguke mara elfu ndo naichukua vinginevyo unaishia kuomboleza
 
Nina iphone5 nyingi nimenunua but zina hitaji apple id and password iliyo tumika kwenye kila simu. So nilikuwa nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza crack Apple ID kwenye Iphone (IOS7)

Fuatilia hawa jamaa HAPA
 
Nina iphone5 nyingi nimenunua but zina hitaji apple id and password iliyo tumika kwenye kila simu. So nilikuwa nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza crack Apple ID kwenye Iphone (IOS7)

mtafute teja aliyekuuzia akuonyeshe mwenye simu umpe akutoe japo na buku 20
 
actually inawezekana sasa hivi, sema kama ni simu itakuwa kama ipod hakuna mtandao just wifi..... kuna post nlitoa inamaelezo ya namna y akubypass hyo apple id au activation lock
 
actually inawezekana sasa hivi, sema kama ni simu itakuwa kama ipod hakuna mtandao just wifi..... kuna post nlitoa inamaelezo ya namna y akubypass hyo apple id au activation lock

Mmmmh hii ngumu kumeza!!
 
Nina iphone5 nyingi nimenunua but zina hitaji apple id and password iliyo tumika kwenye kila simu. So nilikuwa nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza crack Apple ID kwenye Iphone (IOS7)

Kama bado unazo niuzie moja nichukue battery tuu mashine utabaki nayo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nina iphone5 nyingi nimenunua but zina hitaji apple id and password iliyo tumika kwenye kila simu. So nilikuwa nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza crack Apple ID kwenye Iphone (IOS7)

tembelea doulCI.net ..wanabypass apple activation screen for free. Status ya server yao utaiona kwenye hio website...ikiwa "ON" (mostly mida ya usiku) watadisplay ip address. sasa cha kufanya unaichukua hio ip address na kuiweka kwenye host file ya pc yako then unaconnect iphone yako kwenye pc na kufungua itune....maelezo zaidi utayapata kwenye hio website.
 
Natoa icloud permanent kwa pesa za kenya ksh.25,000(iphone 4,5,5s na 5c) na ksh.30,000 kwa iphone 6 na 6 plus ambazo ziko clean(yaani haziko kwenye lost mode) kwa siku7,14,21,na 28 za kazi malipo baada ya kazi?ila simu lazima iwe oficn kwangu kwa muda wote inaposhughulikiwa.

Kwa mawasiliano nicheck whatsapp number +8613320286695.

Niko Mwanza Tanzania.
 
Back
Top Bottom