Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,470 Mar 9, 2017 #1,081 Shunie said: hahahhahah machale yakicheza unaenda chungulia Click to expand... Umeonaeee Haiwezekani ake pale pale kila siku, lazima kuna kitu
Shunie said: hahahhahah machale yakicheza unaenda chungulia Click to expand... Umeonaeee Haiwezekani ake pale pale kila siku, lazima kuna kitu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,063 Mar 9, 2017 #1,082 husna muba said: mambo waaaaaa.... Click to expand... kwahyo mmeonana au mmetumiana picha
The Messenger JF-Expert Member Joined Jul 2, 2014 Posts 1,523 Reaction score 812 Mar 9, 2017 #1,083 husna muba said: Click to expand... Mkuu tabasamu lako limenisisimua...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,063 Mar 9, 2017 #1,084 Sakayo said: Umeonaeee Haiwezekani ake pale pale kila siku, lazima kuna kitu Click to expand... ndio kutakua na kitu tu yaan utafkili kawekewa super glue
Sakayo said: Umeonaeee Haiwezekani ake pale pale kila siku, lazima kuna kitu Click to expand... ndio kutakua na kitu tu yaan utafkili kawekewa super glue
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Mar 9, 2017 Thread starter #1,085 Sakayo said: Hehehe, watu na baby zao!! Sasa wenzake wametinga suti yeye kaweka mgari wake pale Click to expand... sakayo wewe umenichekesha thaanaa But kweli
Sakayo said: Hehehe, watu na baby zao!! Sasa wenzake wametinga suti yeye kaweka mgari wake pale Click to expand... sakayo wewe umenichekesha thaanaa But kweli
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,470 Mar 9, 2017 #1,086 Shunie said: hahahahhah halaf sio lazima gari ujue kuna avatar nyingine zina ushawishi ila chizi ww Click to expand... Yaani yule ni wa kuleee Haiwezekani asiwe mbunifu kabisaa, aweke hata miguu kuanzia magotini kushuka chini tuone uzi
Shunie said: hahahahhah halaf sio lazima gari ujue kuna avatar nyingine zina ushawishi ila chizi ww Click to expand... Yaani yule ni wa kuleee Haiwezekani asiwe mbunifu kabisaa, aweke hata miguu kuanzia magotini kushuka chini tuone uzi
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Mar 9, 2017 Thread starter #1,087 Shunie said: kwahyo mmeonana au mmetumiana picha Click to expand... Tumeonana
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,063 Mar 9, 2017 #1,088 Sakayo said: Yaani yule ni wa kuleee Haiwezekani asiwe mbunifu kabisaa, aweke hata miguu kuanzia magotini kushuka chini tuone uzi Click to expand... hahahahh sbbu ya gari ndio mana umehisi wa kule ngoja aje tutakoma
Sakayo said: Yaani yule ni wa kuleee Haiwezekani asiwe mbunifu kabisaa, aweke hata miguu kuanzia magotini kushuka chini tuone uzi Click to expand... hahahahh sbbu ya gari ndio mana umehisi wa kule ngoja aje tutakoma
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,470 Mar 9, 2017 #1,089 Shunie said: ndio kutakua na kitu tu yaan utafkili kawekewa super glue Click to expand... Hehehe Usiyempenda kaja
Shunie said: ndio kutakua na kitu tu yaan utafkili kawekewa super glue Click to expand... Hehehe Usiyempenda kaja
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Mar 9, 2017 Thread starter #1,090 The Messenger said: Mkuu tabasamu lako limenisisimua... Click to expand... Wee ntakuchapaa
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,470 Mar 9, 2017 #1,091 husna muba said: sakayo wewe umenichekesha thaanaa But kweli Click to expand... Yeye anajua mapenzi gari
husna muba said: sakayo wewe umenichekesha thaanaa But kweli Click to expand... Yeye anajua mapenzi gari
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,063 Mar 9, 2017 #1,092 husna muba said: Tumeonana Click to expand... Sakayo wameonana safi sna kwahiyo mmekua couple halaf husna unajiamin sna mpk kuwa mchepuko umekubali
husna muba said: Tumeonana Click to expand... Sakayo wameonana safi sna kwahiyo mmekua couple halaf husna unajiamin sna mpk kuwa mchepuko umekubali
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,470 Mar 9, 2017 #1,093 husna muba said: Tumeonana Click to expand... Husna acha uongo!!! Eheee ikawaje
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,063 Mar 9, 2017 #1,094 Sakayo said: Hehehe Usiyempenda kaja Click to expand...
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,814 Reaction score 15,567 Mar 9, 2017 #1,095 Shunie said: kwan ww unanitaka/] mpk nikukubali ndio mana nasema sikuwezi mm acha nikuache na sakayo Click to expand... Sijaelewa mana mii nakutaka zaidi ya maneno yenyewe
Shunie said: kwan ww unanitaka/] mpk nikukubali ndio mana nasema sikuwezi mm acha nikuache na sakayo Click to expand... Sijaelewa mana mii nakutaka zaidi ya maneno yenyewe
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,470 Mar 9, 2017 #1,096 Shunie said: hahahahh sbbu ya gari ndio mana umehisi wa kule ngoja aje tutakoma Click to expand... Sasa we gari la nini, au wapenda gari mwenzangu
Shunie said: hahahahh sbbu ya gari ndio mana umehisi wa kule ngoja aje tutakoma Click to expand... Sasa we gari la nini, au wapenda gari mwenzangu
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,814 Reaction score 15,567 Mar 9, 2017 #1,097 Sakayo said: Humuwezi kivipi sasa pacha angu Click to expand... Natumai ntapata jibu kupitia wewe pacha wake mana dah
Sakayo said: Humuwezi kivipi sasa pacha angu Click to expand... Natumai ntapata jibu kupitia wewe pacha wake mana dah
The Messenger JF-Expert Member Joined Jul 2, 2014 Posts 1,523 Reaction score 812 Mar 9, 2017 #1,098 husna muba said: Wee ntakuchapaa Click to expand... Nchape tu mama...
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,470 Mar 9, 2017 #1,099 Shunie said: Sakayo wameonana safi sna kwahiyo mmekua couple halaf husna unajiamin sna mpk kuwa mchepuko umekubali Click to expand... Hapo ndo sijaamini yaani, kuna watu wana bahati mpaka naona wivu
Shunie said: Sakayo wameonana safi sna kwahiyo mmekua couple halaf husna unajiamin sna mpk kuwa mchepuko umekubali Click to expand... Hapo ndo sijaamini yaani, kuna watu wana bahati mpaka naona wivu
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,814 Reaction score 15,567 Mar 9, 2017 #1,100 Sakayo said: Kama ana kitambi naomba tuishie hapa, khaaa hapana Click to expand... Sina mpendwa sina kabsaa itakua nshapita kwa hili
Sakayo said: Kama ana kitambi naomba tuishie hapa, khaaa hapana Click to expand... Sina mpendwa sina kabsaa itakua nshapita kwa hili