Jamani polee mwaya lkn kupenda siyo dhambi we mwambie akikukataa basi hunabudi kukubaliana na ukweli na hata skikutangaza mi sioni tatizo coz siyo kitu cha ajabu ,,,,,

Fanya ivi kwa kila atakacho andika atakama mda mwingine ni pumba,ama maharagwe we gonna likesss za kutosha,na usi ishie hapo we msifie tuu tuu,ata blo mwenyewe lazima akufuate in bo bo....