Kuna mtu nampenda humu

Kuna mtu nampenda humu

Yan vile unasoma comments zake unafeel ukonae..
Xpress yourself!
 
Kuna mtu nampenda humu nikiona comment zake moyo unashtuka daah kweli moyo mashine sijui nifanyaje
Mu inbox kumsalimia atajichanganya mwenyewe. Sema sasa kwa haya majina yetu unaweza kujikuta siku ya siku unakutana na babako au kakako
 
Feelings have no equations that we can solve.... mPM tu Mkuu hhhh
Unajua hisia naweza kuzfananisha na kitu flani mithiri ya kikohozi, unapokuwa unahisi jambo flani likupalo mtazamo wa fraha ni vyema na haki kutodhurumu nafsi kama jins alivyo kuwa muwazi hapo ndugu,naweza nikasema kuwa ni zaid ya muwasho ktk mfereji wa koo au koromeo kwa lugha nyingine ni haki kukohoa ili upate stahiki ya kujikuna hivyo msimkatishe maneno mnaweza mkamuhalibia hisia au siku njema aianzayo kwa muda unaostahki.
 
Back
Top Bottom