Kuna mtu nampenda humu

Kuna mtu nampenda humu

Afungeke bwana unaeza jikuta waokota dodo chini ya m'buyu maana kwa awamu hii mamno yanahitaji uwe na kabahati bahati ,na kama una bibi si vibaya ukapitia angalau akuchanje chale mbili za utosi ili mradi mambo yaende

cc shunie
hahahah na kweli afunguke mtu ajibebee anajitesa bure ya nn kukaa na vitu rohoni kisa cha moyo kutanuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom