Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,107
- 1,094
Kuna mtu nampenda humu nikiona comment zake moyo unashtuka daah kweli moyo mashine sijui nifanyaje
Asee na dogo anawala watoto wa JF hatar.atakuwa Daby tu huyo
Hahahaaa!Unapenda nini?? Comments zake au avatar??
Kuna mtu nampenda humu nikiona comment zake moyo unashtuka daah kweli moyo mashine sijui nifanyaje
UpoooMmhh! Kazi kweli kweli.
Upo mamyMmhh! Kazi kweli kweli.
Nifanyie mfano basiii?Usione soo sema naye, sikuhizi hata KE tunatongozaga mwanawane.
Nipo shoga angu. Habari ya siku tele?Upo mamy
Nipo. Kwema?Upooo
Basi atakua STUNTER huyoHahahaaa!