Kuna mtu kashameza ndoano

Wakati wakatoliki wakianza mfungo wa NOVENA, siku iyo nami naanza mfungo wangu na Mungu wangu ,nitamaliza nao, malengo ya yatakua yaleyale ila nitaongeza maombi ya kufuta laana katika taifa la Mungu katika pande kuu 8 za dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…