Wangu nilipata ndani ya siku 15 netWako fasta sana. Ndani ya wiki 2 mzigo wako umefika
Speedaf Express ipo Mtaa wa Migombani, Regent Estate, geti namba 165.Sawa sawa wapo mikocheni sehem gani??
Waiii mm tangu tarehe 10 mzgo wapo nao tuuNimeona mzigo wangu upo ofisini kwao na mtu wa kudelivery kaonyeshwa pale na number yake ya simu ipo ..kesho itabidi niibuke maana kudelivery wanaweza chelewesha....
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hata mm nataman kujua.....Swali Kwa wadau...maana posta mzigo ulikuwa ukizidi Dollar 50 ,TRA pale posta wanakomaa ulipe ushuru .Je speedaf Mambo yakoje ? Kama Ile 5,900 ya posta haipo Tena it's good news ..
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hamna ambacho hakisafirishwi mkuuNdio naisikia hiyo speedaf leo, nliifahamu posta tu. Niongezeeni maarifa zaidi kwa faida ya wengine. Napenda kujua, parcel kama simu wanakubali kusafirisha, mwisho mzigo parcel ya uzito gani, hakuna upotevu wa parcel.
Nadhani wanatatumika wote,posta na hao speedafNaombani kufahamishwa kwaiyo nikiagiza parcel kwa aliexpress ndio wananitumia kwa awa speedaf atakama nimeweka anuan zang za posta