Kuna mtu ashawahi kufanya internship NIDA au kujitolea?

Kuna mtu ashawahi kufanya internship NIDA au kujitolea?

Superleta

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
575
Reaction score
665
Wakuu, humu kuna mtu amewahi kufanya intership NIDA au kujitolea??

Nimeuliza kujua kuhusu hawa jamaa

Jee mtu anayejitolea au kufanya intership nida analipwa chochote au hata posho???
 
Wakuu, humu kuna mtu amewahi kufanya intership NIDA au kujitolea??

Nimeuliza kujua kuhusu hawa jamaa

Jee mtu anayejitolea au kufanya intership nida analipwa chochote au hata posho???
Kwani wewe lengo lako lilikua nini wakati tayari umesha sema ni kujitolea mkuu....😎
Na hii sio NIDA tu, malipo ni hiyari ama utashi wa wanao kusimamia wakati unapoamua kufanya kazi ya kujitolea.
 
Nimeuliza sio ubaya boss
Kwani wewe lengo lako lilikua nini wakati tayari umesha sema ni kujitolea mkuu....
Na hii sio NIDA tu, malipo ni hiyari ama utashi wa wanao kusimamia wakati unapoamua kufanya kazi ya kujitolea.
 
Duuuuh wakat huko naskia kuna marupurupu kibao?
Niliwahi kujitolea wizara ya madini sikuwahi pewa hata mia mbovu , nilicho jifunza ni kwamba kuna binadamu uwa hawaridhiki ata gape la 10k anaweza kukukazia ili hali ana pesa ndefu
 
Back
Top Bottom