Kuna mtu anaweza saidia kupatikana huyu mtu anayefanya unyama huu?

Hapa ndio nawasifu wakenya. Waliikomalia serekali mpaka ikamfukuza kofi olomide alivyofanya ujinga huo kwa dancer wake. Ila hapa tanzania na tisivyokuwa activist na ukichanganya na serekali isiyotaka kujaribiwa. Huyo jamaa atakuwa anakula bata mtaani
Ww bila shaka ni mkenya
 
Sasa ndugu yangu chanzo unacho halafu unakuja tena JF kuuliza?
Huyo raia hasikustaajabishe sana, japo ni sehemu ya maajabu kwa Tanganyika. Uwezo wake wa kufikiri ndipo ulipogotea, tena nafikiri, walau leo kajitahidi kidogo.
 
Aisee, kumbe hata wanaume wa mikoani ni waoga mbona wanamuangalia tu

Mkuu nimeagalia hii kitu nikaumia, ebu nisaidie ungekuwepo hapo ungefanyaje nielekeze ili ikitokea nitumie njia hiyo.

Mimi nimeshindwa
 
Mkuu nimeagalia hii kitu nikaumia, ebu nisaidie ungekuwepo hapo ungefanyaje nielekeze ili ikitokea nitumie njia hiyo.

Mimi nimeshindwa
Huyu anatakiwa kukabiliwa na michanga au vumbi litakalomfanya atupe panga lake chini baada ya mchanga kuingia machoni then hapo mnamkamata mnamshughulikia kisawa sawa ndo mnampeleka polisi
 
Huyu anatakiwa kukabiliwa na michanga au vumbi litakalomfanya atupe panga lake chini baada ya mchanga kuingia machoni then hapo mnamkamata mnamshughulikia kisawa sawa ndo mnampeleka polisi

Bado naona hiyo njia anakuwai mkuu ukirusha wa kwanza ukiinama kuchukua wa pili anakuwa mguuni kwako na panga
 
Bado naona hiyo njia anakuwai mkuu ukirusha wa kwanza ukiinama kuchukua wa pili anakuwa mguuni kwako na panga
Haitakiwi uwe mmoja muwe kama watano au zaid mchana utoke kila upande atainama vipi sasa? Hata akiinama kitendo cha mchanga mmoja kuingia machoni lazima asimame na apoteze uelekeo
Macho sio kitu spotspot.

Hata mbwa anaogopa mchanga
 
Naona kama walipo mchanga hakuna. Mkuu ebu vuta hisia Upo wewe hapo.
 
Hapa ndio nawasifu wakenya. Waliikomalia serekali mpaka ikamfukuza kofi olomide alivyofanya ujinga huo kwa dancer wake. Ila hapa tanzania na tisivyokuwa activist na ukichanganya na serekali isiyotaka kujaribiwa. Huyo jamaa atakuwa anakula bata mtaani
Wakenya wanaongoza kuchapwa makofi na wake zao. Walijua wasipomshikia bango Olomide, walikuwa na kesi ya kujibu kwa wake zao
 
Naona kama walipo mchanga hakuna. Mkuu ebu vuta hisia Upo wewe hapo.
Hao waoga tu amini usiamini.
Mimi nimepitia fujo na ugomvi Mwingi sana.
Ni vigumu kueleza hapa.
Ila home ndo kule kwa wapenda vurugu
 
Hao waoga tu amini usiamini.
Mimi nimepitia fujo na ugomvi Mwingi sana.
Ni vigumu kueleza hapa.
Ila home ndo kule kwa wapenda vurugu

Usinichoke mkuu maana hii clip inatoka kwa watani zako mwaka jana tulikadiri sana kwenye group za whatsapp lakini tulikosa jibu , ni nini tungefanya. Ukiwa na fimbo/mti mfupi unamdhibiti hata ukiwa mmoja unachofanya unaakikisha unapiga mkono ulioshika panga hata likiwa bado amelinyanyua kukukata hata ukimkosa ukapiga panga lazima lidondoke then unamshughulikia kama nyoka. Hii aina haja ya kuwa watatu wala wawili
 
Wanaume wa mikoani wameniangusha sana.
Sasa kama ni mila unafikiri jamii ifanyeje??? Yaani kipigo kama hicho ni hali ya kawaida na ndiyo kunogesha upendo...Usukumani akifanya hivyo moja kwa moja wanajua ni shambulio kwa kuwa siyo jambo la kawaida na ikipigwa "kalakala twiyanguhile" haijalishi ana panga, mshale wala mkuki lazima angekula kichapo cha haja...
 
Baada ya kunipiga hivi ningetulia kimya then baada ya wiki kama mbili hivi usiku wa manane nakamata dudu naifyeka natokomea kusikojulikana nyambaf
 
Back
Top Bottom