Kuna mtu anaweza saidia kupatikana huyu mtu anayefanya unyama huu?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Nimeona hii kitu kwenye YOUTUBE.Huyu mwanaume katili ni mtanzania au siyo kuna anayeweza saidia kutuelewesha au kumkamata popote alipo duniani?

 
Mliojiunga kwenye magrupu mbalimbali sambazeni hii video ili mhusika ajulikane atiwe nguvuni!!
 
Hapa ndio nawasifu wakenya. Waliikomalia serekali mpaka ikamfukuza kofi olomide alivyofanya ujinga huo kwa dancer wake. Ila hapa tanzania na tisivyokuwa activist na ukichanganya na serekali isiyotaka kujaribiwa. Huyo jamaa atakuwa anakula bata mtaani
 
Dah.... Jamaa anatembea ubapa kama hana akili nzuri....lazima kuna sababu kubwa ya kufanya hivyo.... Lakini kumpiga mwanamke ni udhaifu mkubwa.... Kama akikuzingua Unalala na jeans yako miezi sita.... Atatia akili tu
 
Hiyo Video niliona last year.....nilishangaa sana huyo jamaa anampiga mwanamke na panga aisee......halafu watu wanaangalia tu. Not so sure hiyo ni Tz
 
Back
Top Bottom