Kuna mtu anauliza hivi

cheusimangala_

Senior Member
Dec 1, 2018
114
174
Eti nyie wanafunza wa IFM 3rd year, Mmepewa kazi ya Project management?????. Maana, Wife ananiaga now saa moja jioni akiniambia anaenda discussion? Kweli kuna assignment?

Mimi nimebaki kucheka

Msaada pls
 
Ukiona manyoya..........!!
 
Ndio mkuu, ila sisi wengine tulimaliza, yeye alibakisha kukamilisha muunganiko wa kikojoleo chake na cha mhadhiri, nadhani leo ndo anaenda kumalizia
 
Duuhh mkuu unachekelea kucheka tena badala ya kuweka msimamo maridhawa
Pole sana out of time Kabisa
 
Back
Top Bottom