naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,437
Wakuu habari za kutwa?
Samahani jamani kuna gmail address yangu inatumiwa na mtu lkn bila idhini yangu af mbaya zaidi kwenye ACC ya email yangu nilikua sijaweka picha mbaya zaidi kaweka mpaka picha yake!!
Ebu wataalam nisaidieni jinsi ya kumkwapua huyu mtu ACC yangu maana nikejaribu kubadili pincode lkn mchana huu tena nimekuta kaweka picha tofauti na ya previous!
Asante.
Hapana mkuu naofia sana TCRA wanaweza kunishughulikia kwa kusambaza picha ya mtu bila idhini yake mbaya zaidi ni mtoto wa kike sasa si itaonekana nimemdhalilisha kaka.
Waone hao hao TCRA watakusaidia
Haya ndiyo majibu ya watoto waliolelewa bila malezi ya baba.
Hujakosea uko sahihi kabisa...hongera wewe uliyelelewa kwa malezi ya baba na akakufundisha hizi kauliHaya ndiyo majibu ya watoto waliolelewa bila malezi ya baba.
Hujakosea uko sahihi kabisa...hongera wewe uliyelelewa kwa malezi ya baba na akakufundisha hizi kauli
kama una kifaa kingine ambacho unaweza ku access hiyo account yako fanya ubadili password kisha ukubali ku logout kwenye vifaa vingine vyote ili hata kama ulikuwa ukitumia kuingia bila password itakulazimu kuanza upya kila mahali kwa kutumia password mpya utakayoianzisha.
Dada yangu hapo kuna uwezekano ulishawahi kumuuzia mtu simu yako au ulishawahi kuingiza account yako kwenye simu ya mtu sasa hapo chakufanya ingia kwenye akaunti yako kisha wacontact google
Hujakosea uko sahihi kabisa...hongera wewe uliyelelewa kwa malezi ya baba na akakufundisha hizi kauli
HahahahahahahahahahaHaya ndiyo majibu ya watoto waliolelewa bila malezi ya baba.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Haya ndiyo majibu ya watoto waliolelewa bila malezi ya baba.
Mkuu sio vizuri jibu lako asee mwenzako ana shida!!wee unamjibu mkatoWaone hao hao TCRA watakusaidia
Kwani TCRA majukumu yake ni yapi...nimempa jibu fupi lakini sahihi...mawasiliano yako yapoingiliwa na mtu suluhu itapatikana TCRAMkuu sio vizuri jibu lako asee mwenzako ana shida!!wee unamjibu mkato