Kuna vitu ambavyo vinaathiri uchumi wetu lakini bado havijatengenezewa utararibu.
1.Suala la kila mtuy kujichongea muhuri wake mitaani limesababisha kuwepo kwa fraud nyingi sana. Nashauri kiundwe kitengo cha serikali na mihuri yote itolewe na serikali baada ya wote waliopewa kusajiliwa na kupewa official seal zenye utambulisho usioweza kughushiwa kirahisi sio haya maraba yanayochongwa mitaani.
2. Ticket za mabasi na zenyewe zitumie online methodd ambapo kila mabi litaweka bei zake kweny mtandao ambao utatengenezwa na kusimamiwa naserikali na ntu anachagua ruti na basi la garama anayoitaka anapewa control no. analipia na kodi ya sirikali inakatwa na kinachobakia kampuni ya basi usika inacgukua