Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,176
- 29,881
Kwa mtu tapeli mali kauli doesent work, kama huyu kijana katapeliwa.Ulikuwa unajaribu kuongea nini hasa?! Btw, hivi unaelewa watu wanaposema "Mali Kauli"?
I know that, that's so why insurance firms exist ...it's all about calculated risk...repeat after me "watch it closely"Watch it closely that is another deal....and risks are unpredictable so how can u watch it
Hoja ni kwamba, mfumo wa mali kauli unatumika sana kwenye masoko yetu; sasa kinachofuata hapo ni uaminifu wa yule aliyeachiwa mali kwa mali kauli!!Kwa mtu tapeli mali kauli doesent work, kama huyu kijana katapeliwa.
Mali kauli ni kwa mtu muadilifu, mtu mwenye reputation, mtu ambaye neno lake tu ni pesa!
Kibaka mtaani uongee mali kauli, utakuwa una matatizo tu.
Kwa kiingereza inaitwa Gentlemans Agreement.Hoja ni kwamba, mfumo wa mali kauli unatumika sana kwenye masoko yetu; sasa kinachofuata hapo ni uaminifu wa yule aliyeachiwa mali kwa mali kauli!!
Na hili tatizo linachangiwa na mambo makuu mawili:-
1. Madalali hawapo regulated,
2. Majority kama sio wote wanategemea kumlipa mwenye mzigo baada ya mzigo kuuzwa kwa sababu hawana mitaji! Wengi wanachoweza kufanya in advance ni ku-clear madeni ya Seller... kwa mfano, kama unadaiwa na transporter, dalali atakachofanya ni ku-clear deni la transporter, kisha mnamalizana juu kwa juu!
Kutokana na hilo, wakati mwingine unakuta dalali wala sio nia yake kukutapeli bali unakuta umemuachia mzigo na bishara imegoma kutegemea na hali ya soko!!!
Kitakachofuata hapo, ni full calendar... au kama alivyojibiwa dogo kwamba "kama vipi, njoo uchukue mzigo wako"!!
Wakati mwingine, na ni kawaida sana kukuta kweli dalali bado mzigo anao!!!
Umeshawahi kufanya biashara sokoni?! Nakuuliza hilo swali kwa sababu naona unataka kuleta mambo ya kishule shule wakati hapa watu wanazungumzia how things work in a real world!!Kwa kiingereza inaitwa Gentlemans Agreement.
Ukichukua dhamana, unayabeba na matatizo yake na kuyatatua.
Huwezi chukua dhamana halafu matatizo unamuachia aliyekuamini, hapo unakuwa tapeli.
Tukipatana huu mzigo ni milioni tisa, basi pengine nikiachie kile kidogo cha kazi yako , vinginevyo jina lako likisha chafuka redio mbao zipo nyingi tu.
Utabeba jina la zulumat na heri kuhama soko.
Mimi ni mfanya biashara mkuu, kubwa kubwa na ndagondogo.Umeshawahi kufanya biashara sokoni?! Nakuuliza hilo swali kwa sababu naona unataka kuleta mambo ya kishule shule wakati hapa watu wanazungumzia how things work in a real world!!
Again, umeshawahi kufanya hizo biashara?!
Ni nimechoka kabisaaaHapo kwenye faida ndipo nimebaki hoi.
Nimeuliza biashara za sokoni kwa sababu changamoto za biashara za sokoni ni tofauti na biashara za aina nyingine!Mimi ni mfanya biashara mkuu, kubwa kubwa na ndagondogo.
Nimekutana na madalali kibao!
Mtu ambaye hana dhamira ya kuweka nadhiri tamko lake utamjua kwa maneno yake.
Basi wewe huna akili ,unajua alishafanya biashara na mama yako na akamsumbua,bado na ww unarudia tena kufanya nae niashara,upo serious kweli ?Kuna watu wakaribu yangu wanamfahamu pia hata mama alifanyanaye biashara miaka ya nyuma ila alimsumbua sana hivyo na mimi niliunganishwa na mtu mwingine ila mama ha kujua kama nimeuzia huyo mtu
Insurance firm is not for calculating your risks...but is there for making a moneyI know that, that's so why insurance firms exist ...it's all about calculated risk...repeat after me "watch it closely"
Wewe mwenye akili umetengeneza nini hapa duniani? Usikute hata kula yako ni shida !!!!Basi wewe huna akili ,unajua alishafanya biashara na mama yako na akamsumbua,bado na ww unarudia tena kufanya nae niashara,upo serious kweli ?
JESUS IS LORD[emoji120]
You are not right...Insurance firm is not for calculating your risks...but is there for making a money
Huko chuoni dogo unasome ujinga gani kwanza umenunua samaki pcs 2000 umeshindwa kuzitunza vizuri umefikisha pcs 1300tu na bado hizo samaki umekwenda kumkabidhi tapeli
Ningekuwa Mimi ndio baba yako ungenirudishia pesa za karo sio kwa utopolo wa kiwango hicho
Mkuu nikuwapuuza tu,wengi wakujibu jeuli ni wanao hitaji misaada daily kutoka kwa ndugu zaoKwenye huu Uzi Ndo unapoweza kuona utofauti wa Mzungu na Mswahili!
Mtu anaomba Ushauri juu ya jambo lake, Toa Basi Ushauri kwanza then ndo uanze Blah blah, matokeo yake unaishia Kuandika Blah blah zisizo na Maana!!
Mimi Ushauri wangu Mkuu anza kukusanya Ushahidi wa Messages, kama Bado Anza ku record Calling, Ili siku ukiona Uvumilivu umekushinda nenda kamshtaki na Ushahidi ukiwa nao.
Usikubari kwenda kuchukua Samaki hao coz hayakua Makubaliano yenu!
Watu wengi wa sokoni hawana hata aibu, yani mi wananikerega sanaKwa kiingereza inaitwa Gentlemans Agreement.
Ukichukua dhamana, unayabeba na matatizo yake na kuyatatua.
Huwezi chukua dhamana halafu matatizo unamuachia aliyekuamini, hapo unakuwa tapeli.
Tukipatana huu mzigo ni milioni tisa, basi pengine nikiachie kile kidogo cha kazi yako , vinginevyo jina lako likisha chafuka redio mbao zipo nyingi tu.
Utabeba jina la zulumat na heri kuhama soko.
What is safi about it my friend [emoji3][emoji3]? Its laki 9 on the line! Kajifunza the hardest way yaanisafi sana ila pole, nadhani sasa umejifunza, next time hutapigwa kijinga ivyo
mjinga wakati wa kwenda, kurudi unakua mjanja, vuta soksi juu, pambana
Either you know nothing about business or you have got me wrong....You are not right...