Chikolombe
Member
- Jul 23, 2020
- 36
- 69
Haa😁😂😅😄😃🤣Chadema watakwambia hayo ni maendeleo ya vitu ,pole sana mkuu.
Chadema wamekupa mimba changa kila muda unawawaza tu.Chadema watakwambia hayo ni maendeleo ya vitu ,pole sana mkuu.
Biashara gani ya kukopesha halafu unapata faida ya 250/=Mimi ni kijana niliye maliza masomo yangu mwaka huu, kipindi nikiwa chuo nilikuwa najiwekea akiba kutoka kwenye boom langu ili nikimaliza basi niwe na mtaji ili nianze kufanya biashara, nimefanikisha kuwa namtaji .TZS.1000000/= tarehe 2.9.2020 nilienda wilaya ya simanjiro (manyara)kijiji cha kimotoroki kufata samaki aina ya kambale nili nunua samaki 2000 walio gharimu Tzs. 900000 hapo kuanzia manunuzi hadi kuwabanika kwa moto, niliwasafirisha hadi dodoma kwenye soko la chang'ombe ambapo niliwasiliana na boss ambaye alisema anachukua mzigo wote ananipa pesa yangu siku hiyo hiyo. Tulifungua samaki akahesabu akapata samaki 1385 kati ya samaki 2000 kutokna na usafiri hao wengine walivunjika hivyo hawakuhesabiwa hiyo ilikuwa tarehe 18/9/2020 , kwa samaki 1835 ilitakiwa anipe TZS. 900250 ila aliomba pesa yangu atanitumia baada ya siku tatu,basi kiungwana nikakubali mimi nikaondoka nikijua pesa ata nitumia hadi sasa hajanitumia pesa na nikimtafuta simu hapokei Wala sms hajibu, Leo nimemtafuta kapokea kaniambia niende dodoma nikafate samaki wangu ,baada ya kumsumbua sana kuhusu pesa yangu, naomba msaada wenu wa mawazo mimi ni mtoto wamvuvi tena mvuvi wa hali ya chini na mama anafanya uchuuzi wa samaki ila mala nyingi matapeli kama hawa wanatufanyia hivi tukipeleka mizigo sokoni
Biashara gani ya kukopesha halafu unapata faida ya 250/=
Hapo kwenye faida ndipo nimebaki hoi.
Unafuaje Samaki Dodoma Wakati Mmeshafanya Biashara
Hapo Dodoma Hilo Soko Linaitwa Mavunde
Labda Ningependa Kujua Ulimpa Mzigo Mkiwa Mnafahamiana Ama Ikoje Hii
Pole Sana Mpaka Sasa Hivi Inaonekana Kumbukumbu Alizonazo Ni Mbaya HuyoKuna watu wakaribu yangu wanamfahamu pia hata mama alifanyanaye biashara miaka ya nyuma ila alimsumbua sana hivyo na mimi niliunganishwa na mtu mwingine ila mama ha kujua kama nimeuzia huyo mtu
We chikolembe banah umekua na akili ya kuitunza pesa, ila kwenye uwekezaji umepoteza umakini, huwezi kumwamini mtu hujawahi fanya nae biashara, uliangalia urahisi wa kuuza pasipo kujali uaminifu wa mtu unaempatia mzigoKuna watu wakaribu yangu wanamfahamu pia hata mama alifanyanaye biashara miaka ya nyuma ila alimsumbua sana hivyo na mimi niliunganishwa na mtu mwingine ila mama ha kujua kama nimeuzia huyo mtu
Ila chikolombe umezingua sana kuchoma mtaji wote kwa mtu usiemfahamu, unaanzaje kukuposha tena kwa mara ya kwanza tuMimi ni kijana niliye maliza masomo yangu mwaka huu, kipindi nikiwa chuo nilikuwa najiwekea akiba kutoka kwenye boom langu ili nikimaliza basi niwe na mtaji ili nianze kufanya biashara, nimefanikisha kuwa namtaji .TZS.1000000/= tarehe 2.9.2020 nilienda wilaya ya simanjiro (manyara)kijiji cha kimotoroki kufata samaki aina ya kambale nili nunua samaki 2000 walio gharimu Tzs. 900000 hapo kuanzia manunuzi hadi kuwabanika kwa moto, niliwasafirisha hadi dodoma kwenye soko la chang'ombe ambapo niliwasiliana na boss ambaye alisema anachukua mzigo wote ananipa pesa yangu siku hiyo hiyo. Tulifungua samaki akahesabu akapata samaki 1385 kati ya samaki 2000 kutokna na usafiri hao wengine walivunjika hivyo hawakuhesabiwa hiyo ilikuwa tarehe 18/9/2020 , kwa samaki 1835 ilitakiwa anipe TZS. 900250 ila aliomba pesa yangu atanitumia baada ya siku tatu,basi kiungwana nikakubali mimi nikaondoka nikijua pesa ata nitumia hadi sasa hajanitumia pesa na nikimtafuta simu hapokei Wala sms hajibu, Leo nimemtafuta kapokea kaniambia niende dodoma nikafate samaki wangu ,baada ya kumsumbua sana kuhusu pesa yangu, naomba msaada wenu wa mawazo mimi ni mtoto wamvuvi tena mvuvi wa hali ya chini na mama anafanya uchuuzi wa samaki ila mala nyingi matapeli kama hawa wanatufanyia hivi tukipeleka mizigo sokoni
Pole Sana Mpaka Sasa Hivi Inaonekana Kumbukumbu Alizonazo Ni Mbaya Huyo
Ila chikolombe umezingua sana kuchoma mtaji wote kwa mtu usiemfahamu, unaanzaje kukuposha tena kwa mara ya kwanza tu
Kwahiyo akikupa hiyo pesa chikolombe unapata faida 250, je kuna ushahidi gani kuwa mlifanya biashara na huyo bwana, na je mliandikishana deni? Una ushahidi gani wa kumshtaki huyo bwanaMimi ni kijana niliye maliza masomo yangu mwaka huu, kipindi nikiwa chuo nilikuwa najiwekea akiba kutoka kwenye boom langu ili nikimaliza basi niwe na mtaji ili nianze kufanya biashara, nimefanikisha kuwa namtaji .TZS.1000000/= tarehe 2.9.2020 nilienda wilaya ya simanjiro (manyara)kijiji cha kimotoroki kufata samaki aina ya kambale nili nunua samaki 2000 walio gharimu Tzs. 900000 hapo kuanzia manunuzi hadi kuwabanika kwa moto, niliwasafirisha hadi dodoma kwenye soko la chang'ombe ambapo niliwasiliana na boss ambaye alisema anachukua mzigo wote ananipa pesa yangu siku hiyo hiyo. Tulifungua samaki akahesabu akapata samaki 1385 kati ya samaki 2000 kutokna na usafiri hao wengine walivunjika hivyo hawakuhesabiwa hiyo ilikuwa tarehe 18/9/2020 , kwa samaki 1835 ilitakiwa anipe TZS. 900250 ila aliomba pesa yangu atanitumia baada ya siku tatu,basi kiungwana nikakubali mimi nikaondoka nikijua pesa ata nitumia hadi sasa hajanitumia pesa na nikimtafuta simu hapokei Wala sms hajibu, Leo nimemtafuta kapokea kaniambia niende dodoma nikafate samaki wangu ,baada ya kumsumbua sana kuhusu pesa yangu, naomba msaada wenu wa mawazo mimi ni mtoto wamvuvi tena mvuvi wa hali ya chini na mama anafanya uchuuzi wa samaki ila mala nyingi matapeli kama hawa wanatufanyia hivi tukipeleka mizigo sokoni
Haikua dhamira yako ila ulipoteza umakini na kudumbukia kwenye shimo huku ukijionaMkuu haikuwa dhamira yangu kukopesha ila huyu nitapeli tu